Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,646
Hivi kuna watu bado wanamsikiliza huyo Joshua?
Mwaka huu itabidi utage tu!CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.
Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
Siwapendi CCM lakini kilichonisononesha kwa CHADEMA ndiyo hii, bado najitafakari hatima yangu ndani ya siasa ya Tanzania. Naomba wafuasi wangu mniunge mkonoCCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.
Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

T. B. Joshua alitabiri lini acha uongo mtoa uzi. Namkubali lowassa lkn sio kwa uongo unaotaka hapa
Acha uongo wewe, TB Joshua mbabaishaji tu na mcheza bahati nasibu, aliwaombea wote Lowassa, Magufuli na Mwigulu walipokwenda kwake, ili kubahatisha!!!!!! OVYOOOOOOOOO!!!!!! TB Joshua mwuaji ameua watu mia, na mahakama Nigeria imemuona ana kesi ya kujibu. Afrika Kusini walioathirika kwa raia wake wengi kuuawa kwa Joshua, wamesema akikanyaga tu Afrika Kusini, anatiwa ndani na kufunguliwa kesi ya mauaji. Tunampenda Lowassa, lakini usituletee mambo ya tapeli Joshua hapa.
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.
Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
Acha uongo wewe, TB Joshua mbabaishaji tu na mcheza bahati nasibu, aliwaombea wote Lowassa, Magufuli na Mwigulu walipokwenda kwake, ili kubahatisha!!!!!! OVYOOOOOOOOO!!!!!! TB Joshua mwuaji ameua watu mia, na mahakama Nigeria imemuona ana kesi ya kujibu. Afrika Kusini walioathirika kwa raia wake wengi kuuawa kwa Joshua, wamesema akikanyaga tu Afrika Kusini, anatiwa ndani na kufunguliwa kesi ya mauaji. Tunampenda Lowassa, lakini usituletee mambo ya tapeli Joshua hapa.
Na wewe unavyopenda udini utafikiri chadema walikubaka jinsi ulivyo na hasira na Chadema