Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Katika moja ya vikao vya bunge la Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Sasa inakuwaje tunasikia katika makundi ndani ya CCM(mafisadi) kundi lake ndilo hutumia fedha kwa kiasi kikubwa ili kupenyeza watu wake kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali; huku yeye Lowassa akijiandaa kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa kutumia fedha? Je, hauamini unabii uliotolewa juu yake na TB Joshua? Kwa nini amsaidie mungu kukamilisha unabii wake? Au huyo, mbunge mwanamama alikuwa mzushi tu?
Lowasa21.jpg

Mh. E. Lowassa akiwa Nigeria akishiriki ibada katika SOAN na mwenye kipaza sauti ni nabii TB Joshua
mwaka jana.

Ndo ujiulize!

Tumekua tunasema kila siku hapa,huu no uongo!
Wanamlisha maneno "tbjoshua"
Narudia tena,huu ni uongo,Tbj hajawahi kutoa unabii huu,sisi tunaofuatilia live 24/7 hasa live tungeshaona, coz zinafanyika live nabii zote ht hiyo tungeona!

Alihudhuria ibada km wengine tu,wanaoenda na shida zao
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
TB Joshua hakuwahi kumtabiria Lowassa Uraisi.Ni kwamba alikwenda kusali tu kule Nigeria.
 
TB Joshua alishindwa ktabiri anguko la hekalu lake na likatekeketeza watu wengi ndivyo itakavyokuwa kwa Lowasa ambapo atapata anguko asilo lijua Tarehe 12 July 2015
Take it from me!
Fuatilia clips kwenye Youtube za TB Joshua ili ipate ushahidi wa hicho unachosema.Kimsingi aliona kuna tatizo litatokea kwenye kanisa lake.Na alisema kabla"let the will of God be done".Usizungumze mambo ambayo huna uhakika nayo.
 
Chamsingi watu tuache tabia ya kushabikia speculations za mtaani instead let's focus on real issues. Hakuna mtu ambae anaweza fanya campaign bila hela na kama mtu ana ushahidi wa hizo hela zinazogawiwa hovyo then atupe ushaidi tuufanyie kazi.

Lita tatu za mafuta na Shs 10,000 wanazo pewa madereva wa bodaboda ni suala lililo wazi hata pale walipocheleweshewa wameenda kudai kwa wakuu wa wilaya. Vyombo vya habari vimeandika sana.

Unataka ushaidi gani zaidi? Huo ni mfano mdogo tu. Wale hawaendi kwa utashi bali kwa ajili ya mafuta na hela. Kila mkoa hizo ni Shs ngapi? Hapo kati kuna wawezeshaji nao wana gharama zao.

Kila mkoa idadi ya wadhamini inaongezeka maana wameishaambiwa kuna kupewa "nauli". Hiyo ni kitu gani kama sio rushwa?
 
Nasikia lowasa alikuwa Katimu bilioni 50 mpaka kufikia usiku wa kuamkia leo km mtaji wa urais.
Watu hawana tatizo. Wanataka hela zake tu. Wengi wanaona kukatwa mapema yake mafungu ya mabilioni yaliyokuwa yametengwa itakuwa ndo basi tena
 
Katika moja ya vikao vya bunge la Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Sasa inakuwaje tunasikia katika makundi ndani ya CCM(mafisadi) kundi lake ndilo hutumia fedha kwa kiasi kikubwa ili kupenyeza watu wake kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali; huku yeye Lowassa akijiandaa kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa kutumia fedha? Je, hauamini unabii uliotolewa juu yake na TB Joshua? Kwa nini amsaidie mungu kukamilisha unabii wake? Au huyo, mbunge mwanamama alikuwa mzushi tu?
Lowasa21.jpg

Mh. E. Lowassa akiwa Nigeria akishiriki ibada katika SOAN na mwenye kipaza sauti ni nabii TB Joshua
mwaka jana.

Kwani huyo TB Joshua ni nani hata muamini utabiri wake au kuutukuza??au nae ni kina shekhe Yahya Hussein?u
 
Pamoja na yooote, huu upepo dhidi ya EL utapita na safari yake kwenda kupanga Magogoni itatimia bila ya kutegemea utabiri wa Joshua au utabiri wa kiumbe mwingine yeyote..... Chezea nguvu ya Laingwanani nyie..../^^^>>>???

Duuu,bado una imani tu,pole
 
Pesa alizofisadi na team yake ya mafisadi alifikiri ni deal sana na atapata kila kitu mpaka Urais na atanunua kila kitu mpaka watanzania woooote na chama cha CCM chooooote. Huo ndio elewaji wa hela za KUFISADI
 
Katika moja ya vikao vya bunge la Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Sasa inakuwaje tunasikia katika makundi ndani ya CCM(mafisadi) kundi lake ndilo hutumia fedha kwa kiasi kikubwa ili kupenyeza watu wake kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali; huku yeye Lowassa akijiandaa kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa kutumia fedha? Je, hauamini unabii uliotolewa juu yake na TB Joshua? Kwa nini amsaidie mungu kukamilisha unabii wake? Au huyo, mbunge mwanamama alikuwa mzushi tu?
Lowasa21.jpg

Mh. E. Lowassa akiwa Nigeria akishiriki ibada katika SOAN na mwenye kipaza sauti ni nabii TB Joshua
mwaka jana.

@m.l T. B Joshua hajawahi kutoa unabii Kuwa Lowassa ataongoza nchi. Na hilo amelikanusha mara nyingi
 
Habari ndio Hiyo... sipati Picha Manywele meupe akirejea tena kwenye Ving'ora na Kupigiwa Saluti...

CCM wanatakiwa wafanye kazi ngumu na ya Shida kutuliza Raia... ila Obama kawaambia no Kung'ang'ania Madaraka.

CCM jamani Imetosha now Tunahitaji Changes people wamesafer sana wanahitaji Ukombozi.
 
Habari ndio Hiyo... sipati Picha Manywele meupe akirejea tena kwenye Ving'ora na Kupigiwa Saluti...

CCM wanatakiwa wafanye kazi ngumu na ya Shida kutuliza Raia... ila Obama kawaambia no Kung'ang'ania Madaraka...
CCM jamani Imetosha now Tunahitaji Changes people wamesafer sana wanahitaji Ukombozi...

CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
 
Back
Top Bottom