Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
nitaweka video soon msijali
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.

Huu ni uongo na umbeya. Hakuna kwenye prophesy zake ameshawahi kuprophesize kuhusu uchaguzi wa Bongo.
 
Lowassa lazima awe Rais (Ule ujinga wa wana-pwani kuwa kamwe Rais hatatoka Kaskazini ni wa kulaaniwa kabisa) mimi natoka kanda ya ziwa lakini kwa kauli hiyo nalazimika kumuunga mkono Lowassa kwa CCM.
 
HuyoTB JOSHUA yupo tu kumbe? sikuhizi simsikii sana kwa watu kama zamani, kidogo tu utasikia ANNOINTED WATER mara UTABIRI WA NINI SIJUI.... Bora hata angetabiliwa na Gwajima hahhahahaaaaaaa
 
TB Joshua ni mla pumba tu.Akishiba zinapotoka puani ndio anabwata.Anayemwamini Joshua lazima ana matatizo ya kufikiri.
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.
 
HuyoTB JOSHUA yupo tu kumbe? sikuhizi simsikii sana kwa watu kama zamani, kidogo tu utasikia ANNOINTED WATER mara UTABIRI WA NINI SIJUI.... Bora hata angetabiliwa na Gwajima hahhahahaaaaaaa

Nilisikia alimtabiria mfuasi wao nyoka makengeza atatolewa kamati za bunge kwasababu alichelewa kuperform r..i.t..u..a..l..s
 
Spirit is greater than material . Lowassa has discovered the secret, he is backed up by God Almighty. Ni muda mwafaka kwa wabaya wake kukaa chini na kulielewa hilo.
 
Labda kuna muda utafika ataacha kutmia hela..maana yawezekana hata hela ni sehem ya utabiri..
 
Katika moja ya vikao vya bunge la Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Sasa inakuwaje tunasikia katika makundi ndani ya CCM(mafisadi) kundi lake ndilo hutumia fedha kwa kiasi kikubwa ili kupenyeza watu wake kushika nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali; huku yeye Lowassa akijiandaa kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa kutumia fedha? Je, hauamini unabii uliotolewa juu yake na TB Joshua? Kwa nini amsaidie mungu kukamilisha unabii wake? Au huyo, mbunge mwanamama alikuwa mzushi tu?
Lowasa21.jpg

Mh. E. Lowassa akiwa Nigeria akishiriki ibada katika SOAN na mwenye kipaza sauti ni nabii TB Joshua
mwaka jana.

Kutumia hela sio tatizo kwenye campaign as long as hiyo hela inakutana na maitaji ya gharama za uendeshaji campaign.
Labda wewe utupe ushahidi ulionao ambao unaona Mh Lowassa anatumia hela zake vibaya.
 
Chamsingi watu tuache tabia ya kushabikia speculations za mtaani instead let's focus on real issues. Hakuna mtu ambae anaweza fanya campaign bila hela na kama mtu ana ushahidi wa hizo hela zinazogawiwa hovyo then atupe ushaidi tuufanyie kazi.
 
Hainiingii akilini kwa mtu mwenye fikra ya kawaida kutumia muda kuzungumzia habari za Lowasa kuwa rais. Inakuwaje watu kuzungumzia mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta ikulu (rejea hotuba ya Nyerere). Inakuwaje watu kuzungumzia urais kwa mtu aliyeshindwa hata kumaliza kipindi kimoja cha Uwaziri Mkuu, tena aliyefukuzwa kwa kashfa mbaya ya ufisadi!!!!
Tunahitaji kama vija kuhoji uzalendo wetu na uwezo wetu wa kufikiri. Teupuke kuwa makuwadi wa Mafisadi. Ni dhambi mbaya. Epuka kutumika.
Mkuu watu wa nchi hii wanapaswa kuingizwa kwenye orodha ya maajabu ya Dunia
 
Chamsingi watu tuache tabia ya kushabikia speculations za mtaani instead let's focus on real issues. Hakuna mtu ambae anaweza fanya campaign bila hela na kama mtu ana ushahidi wa hizo hela zinazogawiwa hovyo then atupe ushaidi tuufanyie kazi.

Watasema walisikia tu...
 
kama wewe ni mwanausalama katika vyombo vyetu huoni kama ingekuwa busara kukaa kimya kuliko kuvivua nguo vyombo vyetu.twiga kule KIA hawakuonekana mtawezaje kuona pesa inayobebwa mfukoni mwa mtu
 
Kutumia hela sio tatizo kwenye campaign as long as hiyo hela inakutana na maitaji ya gharama za uendeshaji campaign.
Labda wewe utupe ushahidi ulionao ambao unaona Mh Lowassa anatumia hela zake vibaya.
Hivi kumbe mmeshaanza campaign au wewe ndo hujui unachokiandika
 
Ndugu wanajamii wenzangu yule nabii joshua kutoka Nigeria ametabiri rais ajaye ni lowasa.je itatimia?yetu macho.ila kwa mvuto aliokuwa nao wakati wakusaka wadhamini utakubali tuu.

Propaganda tu hizi, TBJ hakuwahi kufanya hayo uliyoainisha hapo. Yale waliyoanzisha akina Shelukindo yalikuwa ni maigizo kwa kazi maalum.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom