Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu.
Habari zenu wanajukwaa wenzangu.
Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa kuendelea kusimamia uchaguzi, kwasababu Inajipinga yenyewe na Sheria zake zilizopo ambazo zinaongoza wagombea wote na tume yenyewe.
Binafsi nilitegemea pingamizi za TAL dhidi ya wagombea wenzie zijibiwe na wahusika wenyewe. Lakini NEC imejitokeza hadharani na kuzijibu tena chini ya kiwango pasipo na weridi wa vifungu vya kisheria.
Maoni yangu uwenda kuna shinikizo toka juu ama laa mnamtu wenu mtampitisha kwa nguvu hata kama hatashindwa kwenye uchaguzi huu. Kwa maana hiyo ya Jeche 2015 kule Zanzibar yatajirudia na huku bara.
Je, vipi kuhusu waliopita bila kupingwa na wao umetengua baada ya jana kuinajisi Sheria yenu ya Uchaguzi? Inamaanisha wakina Devotha na wengineo waliofanyiwa figisufigisu zenu watarudishwa na kuwapitasha ili nawao walete ushindani?
Kama haya yote yatafanyika, kunahumuimu gani wakutunga Sheria ambazo nyinyi wenyewe si waumini wazuri wa hizo Sheria?