Kama kweli vile

Kama kweli vile

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1437306895425.jpg
 
Hahahahaaa hatari na ndio maana nyingine lazima ukute na nylon flan hiv
 
Dogo kumbe anajua kuchora kasahau kuweka namba 2,3 na 7 zigeukie kulia
 
Nishawahi kuifanyaga hivyo hati ya kusafiria ya baba yangu. Ila hakunigombeza baada ya muda akaenda kubadilisha nyingine.
 
Wangu alifumania cheti changu ACSEE, cheti pekee chenye matokeo mazuri zaidi kwangu, nilijuta! Siku hiyo hiyo, nililaminate mpk barua ya replacement!
 
Nothing wrong with that, cha msingi asiiharibu tu ile barcode kwani ndiyo yenye data zote!.
 
Dah... NImecheka mpaka machozi, lakini kuna ujumbe mzito sana hapo. Wazazi tunatakiwa kuwa makini na sensitive documents kama hizi. TUnapaswa kuzitunnza sehemu ambapo watoto hawafiki
 
Badala ya kusikitika na kuhuzunika.utaangua kicheko,maana picha yako inachekesha kuliko zombie.
 
Dah... NImecheka mpaka machozi, lakini kuna ujumbe mzito sana hapo. Wazazi tunatakiwa kuwa makini na sensitive documents kama hizi. TUnapaswa kuzitunnza sehemu ambapo watoto hawafiki

Kibongobongo labda pia yawepo maandishi, weka mbali na watoto!
 
Back
Top Bottom