Ndugu yangu,usipoteze muda na hawa wajinga wasiomtambua MUNGU!!! usipoteze muda wako bure,achana nao kabisa na wa2 wanaoshindwa kuelewa kwa nini binadamu tunaweza kujenga nyumba,kutengeneza vitu mbalimbali,kuvaa nguo,kuwa natiba za kisasa n.k,lakini kwa nini mbuzi ni yuleyule tangu aumbe!!! achana naao manake tayari wanalaana!!!.....sisi tunaomwamini MUNGU 2kaane na kumsujudia,kuacha dhambi ili tufaidi pepo.....nawapa mtihani hao wasioamini uwepo wa MUNGU,,,wanionyeshe ata chekechea ambayo mbuzi au kuku wanawapeleka watoto wao kusoma,,,au wanionyeshe hospitali wanayotibiwa ng"mbe ambayo madaktari wa hizo hospitali ni ng"mbe wenzao!!!! ACHANA NAO BRO!!!