kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
- Thread starter
- #21
Chanzo ni mabadiliko ya mazingira na natural selection[emoji23] ni biology pure labda nikuoe kitabu ukasome.....
Hapa siwezi maliza kuandika
Bado ujatoa majibu sahii
Kwa hiyo mabadiliko ya mazingira ndo yalimuumba mwanadamu na kupangilia organ’s ndani ya mwili wa mwanadamu
Mabadiliko ya mazingira ndo yaliumba ndege,mbuzi na mengine mengi
Mabadiliko ya dunia ndo yalitenganisha mbingu na ardhi
Yaani unavyo sema wewe ni sawa sawa na kumwambia mtu kuwa tengeneza brick [emoji3464] Alafu yaweke sehemu moja in the future mabrick hayo yatageuka kuwa nyumba bila kuwepo na mkono wa fundi
Mimi ninacho tanga unifundisha ilikuwa Vipi revolution hiyo ikatokea bila chanzo cha kitu chochote au mtu yeyote