Kama kweli Mhe. EL alikubali kuwa kafara..basi sasa hivi anasubiri vinguvu vidogo kama Samsom.

operation vua gamba imeishia kuwachafua wanachama ambao pia ccm itawahitaji ktk uchaguzi mkuu.
 
Hadi sasa hakuna comments kutoka kwa wana CCM kuonyesha kama huyo jamaa ana nguvu ndani ya Chama. Si ushahidi kwamba hakuna takwimu wala ukweli wa hoja hii zaidi ya propaganda ili ionekane jamaa anakubalika?
 
Kwa kuwa CCM wapo katika mfumo wa rushwa na minyukano ya kisiasa,EL anaweza pita na kukubalika kwa kuwa yeye ni sehemu ya mfumo,kama chaguzi ndani ya Chama zinatawaliwa na rushwa na mizengwe itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?CCM wanakataa na kupinga rushwa kwa vinywa vyao lakini si mioyoni mwao,kama RICHMOND inalipwa bilion 96 nani atakaepewa rushwa ili ampitishe EL akatae?NA WAKATI HUO WANAJUA WANAWEZA WASIIANGUSHE CHADEMA?.Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Hapo ndipo patamu...Mh akipita kienyeji then CDM watakuwa na kazi ndogo sana ku inflict damage kuwa kwa kila hatua CCM watakayofanya kumuuza.Na hata akismama JK kumnadi bado CDM watakuwa na njia rahisi sana ya kum nullify kikwete.Na hao watakaomnadi pia hawaaminiki kama hawatakuwa wakitoa habari tofauti nje ya jukwaa kutokana na haya makundi.So Finally yeye ndio atakuwa libility kwa CCM,na hata akijitahidi sana atakuwa awejisafisha ila CCM itakuwa liability.Na hivyo kuanguka Nayo.
 
Mkuu kuna kitu umesahau..maandiko yanasema siku ambayo samson alikufa aliua wafilisti wengi kuliko idadi nzima ya wafilisti aliowaua enzi za uhai wake kabla hawajamkamata.
so expect Lowasa to die with a large number of his enermies than the ones he has killed before.
 
Tupo pamoja bado...kwani alichofanya ni kujitoa mhanga nao wote kwa vnguvu kidogo alizokuwa nazo.Bado itakuwa imekaa vibaya kwa chama tawala ila vizuri sana kwa Chama "Tawala Kivuli"
 
Kama vile CCM wamechukua barabara yenye dead end. Ama mgombea awe mzigo au chama kiwe mzigo.
 
Hadi sasa hakuna comments kutoka kwa wana CCM kuonyesha kama huyo jamaa ana nguvu ndani ya Chama. Si ushahidi kwamba hakuna takwimu wala ukweli wa hoja hii zaidi ya propaganda ili ionekane jamaa anakubalika?
Kwa aliyejitokesha kamshutumu kuwa katumia mtandao ambao kauita haramu, so kathibitisha kuwa ana nguvu ila kaharamisha jinsi alivyopata nguvu.

hao wengine wanaweza kuwa hawajataka changia kwa vile inaweza kuwa ni ngumu kumeza.Na wala hizi si propaganda kwa huyo jamaa ila hii ni hali halisi na ni very controversial.Ndio maana nimeiweka hapa.
 
Parameter ingine imeongezeka Mh. Nimrod Mkono.tusubiri wengine...kengele zinaanza lia
 
Hii ya EL ni changa la macho mafisadi wanataka kutupiga.Kama alikuwa kafara,then haitajiki tena kwenye vilivyo "hai",maana tafsri ya kafara ni kwamba umetolewa kama sadaka,na haurudi tena!Kafara haihuishwi,bali kafara ina malengo ya kuwa "huisha" wale ambao kafara hiyo imeelekezwa kuwakomboa.So kusema EL agombee urais simply kwasababu eti alijitoa kafara,ni sawa na matusi kwa wengine wetu.Huwezi kuwa kafara halafu eti wewe ndo ukombolewe,yeye ni kafara ili wengine ndo waonekane wasafi.Amechelewa sana,unless na yeye anaifahamu kafara ambayo itamsafisha.Kafara hiyo ni ukweli na si vinginevyo!ukweli wa yaliyotokea kuhusiana na Richmond nk.
 
pasco yupo likizo sijui angekuja tupa the so called big idea "doing thing right v/s doing right thing" na jinsi ita apply hapa kumuondoa mheshimiwa ktk deadlock.Mchambuzi anaweza msaidia, mukandara na ritz.Sasa ni zamu yao ku apply theory upande wao.
 
Wakuu Nicholas, Kwitega na wengine Hayati Mwalimu Nyerere alikwishasema mwaka 1995 kwamba mheshimiwa EL "is not good material for presidency".

Hii ni sentensi moja fupi na inayojitosheleza na ni sentensi yenye kutoa maelezo mengi sana juu ya mheshimwa EL.

Kwahio anaepoteza muda kutueleza uzuri wa mheshimiwa EL na credibility yake kuweza kugombea mwaka 2015 nae ni FISADI.

Mkuu Nicholas, jana nimemuuliza maswali mkuu Pasco na hakuwa na majibu na leo mkuu Kwitega nae amekuja na swali kwamba je EL ndani ya CCM ana wafuasi wangapi.

Kama anao basi wote ni masalio ya mtandao wa mwaka 2005 na riba ya wote wa mwaka 2010 na ambao pia wote ni MAFISADI- period.

Nchi yetu inahitaji mabadiliko na ili mabadiliko hayo yatokee, ni lazima CCM ishindwe uchaguzi wa 2015.
 
Niliyaona hayo maswali na pasco akayakwepa ila kelele hazikuisha.Hembu tujiulize kama Mh E.L nae yupo determined akachukua njia ya kufanya "things right", nini itakuwa matokeo yake ndani na nje ya CCM ?Pi si yeye mwenyewe aliyeambiwa hafai,hata JK alipewa lugha nyepesi kuwa bado hajakomaa.Ila mwalimu Nyerere hakuweka timeframe atakomaa lini, wala vigezo kuwa akikomaa tutamjuaje?Kijana akampisha Mkapa kwa manung`uniko km leo tumuonavyo Zitto ,huku udini ukiongeza mashinikizo.Baadaye akaja na huu kelele zikisema kuwa keshakomaa na mengine mengi sana.

Sasa tupo hapa tulipo hata yale madini tuliyoambiwa tusubiri hadi tupate uwezo yamechimbwa na kuthibiika kuwa hatuna uwezo na hii ni kwa vile hatukuwa na vipimo kutuonyesha kama tumekomaa.Mheshimiwa EL kama atakuja tutegemee kauli kama alitubu kwa Joshua, na ahadi za vijana,na pia hayo masalia pia yatakuwa na kelele zao nyingi.

Nini maoni yako kama atatangaza nia.Akubalia achia kitu ambacho andhani kuwa ni haki yake kuweka ktk malengo na kupenda kuyafikia na kubaki akijilaumu kwa maisha yake yote?Arudi katika drawing board na kujipanga upya?au aamue kuwapa watanzania zawadi kwa kuivunja CCM kabisa na kubaki kama mzee mwenye furaha kwa alichowapa watanzania?Je kama watu wanaamini ni fisadi je atakuwa salama CDM au hata CCm yenye mtu nje ya mtandao akichukua nchi?
 
Kwa kuwa CCM wapo katika mfumo wa rushwa na minyukano ya kisiasa,EL anaweza pita na kukubalika kwa kuwa yeye ni sehemu ya mfumo,kama chaguzi ndani ya Chama zinatawaliwa na rushwa na mizengwe itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?CCM wanakataa na kupinga rushwa kwa vinywa vyao lakini si mioyoni mwao,kama RICHMOND inalipwa bilion 96 nani atakaepewa rushwa ili ampitishe EL akatae?NA WAKATI HUO WANAJUA WANAWEZA WASIIANGUSHE CHADEMA?.Mwenye macho haambiwi tazama.
Richmond inalipwa bilioni 96 pesa za wananchi!Halafu eti huyo aliyefanikisha huo uchafu anatakiwa kuwa rais?Hata kama kuna wanaoamini kuwa akigombea basi chadema watashinda,bado sioni mantiki,kwasababu vipi kama wakichakachua?
 
Hakuna kazi ngumu kama kumkampenia EL, Pasco you are on MISSION IMPOSSIBLE

attachment.php

Loading..!
 
Wakuu Nicholas, Kwitega na wengine Hayati Mwalimu Nyerere alikwishasema mwaka 1995 kwamba mheshimiwa EL "is not good material for presidency".

Hii ni sentensi moja fupi na inayojitosheleza na ni sentensi yenye kutoa maelezo mengi sana juu ya mheshimwa EL.

Kwahio anaepoteza muda kutueleza uzuri wa mheshimiwa EL na credibility yake kuweza kugombea mwaka 2015 nae ni FISADI.

Mkuu Nicholas, jana nimemuuliza maswali mkuu Pasco na hakuwa na majibu na leo mkuu Kwitega nae amekuja na swali kwamba je EL ndani ya CCM ana wafuasi wangapi.

Kama anao basi wote ni masalio ya mtandao wa mwaka 2005 na riba ya wote wa mwaka 2010 na ambao pia wote ni MAFISADI- period.

Nchi yetu inahitaji mabadiliko na ili mabadiliko hayo yatokee, ni lazima CCM ishindwe uchaguzi wa 2015.
Mkuu,fuatilia tu ile thread ya kuhusu professa Muhongo aliyoyasema kuhusu Tanesco na mikataba kwa ujumla!

Utapatwa na hasira vibaya mno!Hawa watu wanastahili kuwa kizimbani kujibu mashtaka!Halafu kuna watu wana balls za hata kumtamka humu ndani?

Eti kisa alijitoa kafara,kafara kwa nani na Taifa linalipa kwasababu yao na pesa walizopata ndo wanatumia kujijenga binafsi ili kupata madaraka zaidi?Kama ni kafara halafu anataka urais,basi kafara itakuwa ni watanzania!

Na Zitto naye?Yani kwakweli inasikitisha sana!
 
Nimeingia ktik hiyo thread nikatoka kwa mshtuko.Nadhani hiyo ni heri niitazame kesho.Niliona hiyo Zuma style ambayo kipanya kaiona kuwa ndio option pekee ya mh kukimbia dhoruba nakutoa kafara,nikapenda iweka hapa.Sijui timing yake itakuwaje?Seems hawa CCM wameji corner vibaya sana.Options are getting off the table.
 
Back
Top Bottom