Kama "kuzini" ni dhambi nani atakae pona?

Kama "kuzini" ni dhambi nani atakae pona?

Kama weye ni mzinzi baasi una halalisha kuwa watu woote ni wazinzi ka weye?? Acha matusi ya kirejareja banaa. Miye so mzinzi na sina haja naye mbali na huyu mpenzi wa moyo wangu. Hata ule mfuko wa rambo hajui kuutumia na miye sijui kuutumia. Wa kazi gani? We tembeza wazi wazi tu flaisi usifunge, miaka 2 tu majibu utayapata. Kijana, mpende mkeo tu wengine wana wao wa kuwapenda na kuwa pendezesha.
 
kila mwanaume amtazamaye mwanamke kwa kumtamani tayari ameshazini naye moyoni mwake.....kwahiyo usijihesabie haki
 
Fafanua maana ya hili neno-uzinzi, na jua anaefanya uzinzi ni nani.
Toa maelezo kadri ya uelewa wako na sio kadri ulivyo ambiwa au kuzoeshwa.
 
Maana siku hizi imekua fashion na competition kungonoka si kwa viongozi wa dini watoto hata wakubwa wana ndoa na wasio na ndoa if uzinzi ni dhambi for real hakuna atakae pona.....TAFAKARI....

we kwa akili zako unahisi kuna mtu ataenda mwinguni wote tunaenda kuwa kuni
 
Maana siku hizi imekua fashion na competition kungonoka si kwa viongozi wa dini watoto hata wakubwa wana ndoa na wasio na ndoa if uzinzi ni dhambi for real hakuna atakae pona.....TAFAKARI....

Mtu anaye zini ni yule aliyeko kwenye ndoa halafu anamchepuko, wengine wote hawazini.
 
Back
Top Bottom