Kwa mfano wa nchi gani duniani !!?? Sana sana jibu ni katiba mpya ,iondoe Tanzania police force iwe Tanzania police services kama ilivyo kenya na baadhi kwingineko duniani ,Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya Kijinai "serious offences/crimes"
Hivyo kiutendaji watumishi katika kitengo hicho wanategemewa kuwa na ujuzi wa ziada katika tasnia ya upelelezi wa makosa ya jinai.
Kwakua kwa hivi karibuni kumetokea na malalamiko ya kubambika na kuchelewa Kwa kesi sio vibaya tukawa na taasisi maalum ambayo inajitegemea itayokuwa na jukumu la kufanya upelelezi wa makosa makubwa ya kijinai yatayofanyika hapa nchini na hata nje ya nchi kama itabidi kuwa hivyo kulingana na mazingira ya kosa litalofanywa nje ya nchi.
Hii itaifanya jeshi la polisi kupunguziwa mzigo mkubwa wa kimajukumu ililonalo Sasa ambalo Naona kama ndio kikwazo Cha baadhi ya kesi kuchukua muda mrefu kukamilika.
Taasisi hii mpya itakuwa na muda na ikiwezeshwa kuwa na wataalam na vifaa itasaidia pakubwa katika kuharakisha upelelezi wa kesi.
Polisi wabakie na jukumu lao mama la Ulinzi wa Raia na Mali zao, pamoja na kuzuia kutendeka Kwa makosa ya jinai, na kuhakikisha kuna utulivu na Sheria zinazingatiwa na Raia.
Unajua hata prosecutors zamani walikuwa ni polisi na pia kitengo cha madawa ya kulevya ilikuwa polisi? Kimsingi upelelezi ni fani unayoweza kusomea hata mtu wa kawaida maana kuna upelelezi wa aina nyingi ikiwemo forensic, masuala na mitandao nk.Kwani Job Description iweje.
May be lakini naona ni ngumu. Ni sawa na useme unga uive peke yake na maji yaive peke yake bila kuvichanganya. Cz CID ni Polisi huyohuyo. Anauwezo wa kukamata, Kuhoji, Kupekua, kupeleleza. Naona sijui umewaza Jambo gani nje ya Boksi
Mfano, Marekani anayepeleleza jinai ni FBI (Federal Bureau of Investigation) lakini hata nchi nyingi za Ulaya pia anayepeleleza kesi sio polisi. Polisi wanaweza kuhusishwa kwenye upelelezi kama itahitajika Ila huwa sio kazi yao wao watasubiri tu report. Lakini pia kuna makosa ambayo polisi anaweza kupelekeza kama kuvuta bangi, kupigana sijui kutukanana, vibaka Ila ujambazi, madawa ya kulevya, mauaji, organised criimes, rushwa hizo ni federal offense zinazochunguzwa na FBIKwa mfano wa nchi gani duniani !!?? Sana sana jibu ni katiba mpya ,iondoe Tanzania police force iwe Tanzania police services kama ilivyo kenya na baadhi kwingineko duniani ,
Hapana mkuu,Baadae Takukuru wawe jeshi lakukamata
FBI Marekani ni sawa na federal police wanaoshughulikia makosa makubwa, ya federal na yanayovuka jimbo moja kwenda lingineWazo zuri sana ni kama FBI kwa Marekani.
KATIBA MPYA ndio Suluhisho wa Yote hayoKutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya Kijinai "serious offences/crimes"
Hivyo kiutendaji watumishi katika kitengo hicho wanategemewa kuwa na ujuzi wa ziada katika tasnia ya upelelezi wa makosa ya jinai.
Kwakua kwa hivi karibuni kumetokea na malalamiko ya kubambika na kuchelewa Kwa kesi sio vibaya tukawa na taasisi maalum ambayo inajitegemea itayokuwa na jukumu la kufanya upelelezi wa makosa makubwa ya kijinai yatayofanyika hapa nchini na hata nje ya nchi kama itabidi kuwa hivyo kulingana na mazingira ya kosa litalofanywa nje ya nchi.
Hii itaifanya jeshi la polisi kupunguziwa mzigo mkubwa wa kimajukumu ililonalo Sasa ambalo Naona kama ndio kikwazo Cha baadhi ya kesi kuchukua muda mrefu kukamilika.
Taasisi hii mpya itakuwa na muda na ikiwezeshwa kuwa na wataalam na vifaa itasaidia pakubwa katika kuharakisha upelelezi wa kesi.
Polisi wabakie na jukumu lao mama la Ulinzi wa Raia na Mali zao, pamoja na kuzuia kutendeka Kwa makosa ya jinai, na kuhakikisha kuna utulivu na Sheria zinazingatiwa na Raia.
Wazo zuri sana.....kama ambavyo ' Fbi' inajitegemea ila ipo chini ya idara ya sheria na haki ya Serikali kuu ya MarekaniJamani Jamani;
Hili lizingatiwe kuongeza ufanisi wa utendaji wa Jeshi la Polisi na kupunguza mikasa na malalamiko ya kila mara.
Tuna mifano hai mpaka sasa ambayo inatufanya jambo hili tulitekeleze bila kuchelewa.
Wameelemewa wasaidiwe.Wazo zuri sana.....kama ambavyo ' Fbi' inajitegemea ila ipo chini ya idara ya sheria na haki ya Serikali kuu ya Marekani
Hapa kwetu tutafute namna tutakavyokifanya hichi kitengo wateule wake wasiwe kwa sababu za kisiasa.
Rwanda walilitambua hili mapema na wakatenganisha polisi na idara ya upelelezi ili kupunguza mlundikano wa majukumu,malalamiko na ucheleweshaji wa upelelezi..Wameelemewa wasaidiwe.
Nakubaliana na wewe.Rwanda walilitambua hili mapema na wakatenganisha polisi na idara ya upelelezi ili kupunguza mlundikano wa majukumu,malalamiko na ucheleweshaji wa upelelezi..
... hata hapa kwetu Tz nadhani ni wakati sahihi wa kufanya hivyo.
Rwanda ni nchi ya kidekteta na polisi wake wanafanya kazi kutokana na matakwa ya wanasiasa waliowekwa na Kagame badala ya weledi.Rwanda walilitambua hili mapema na wakatenganisha polisi na idara ya upelelezi ili kupunguza mlundikano wa majukumu,malalamiko na ucheleweshaji wa upelelezi..
... hata hapa kwetu Tz nadhani ni wakati sahihi wa kufanya hivyo.
Na Rwanda imekua Ni ya 1 kwa kuongoza in terms of rule of law Kati ya nchi 33 za Sub-Saharan Africa.Rwanda ni nchi ya kidekteta na polisi wake wanafanya kazi kutokana na matakwa ya wanasiasa waliowekwa na Kagame badala ya weledi.