The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,444
- 10,235
Ule mradi wa kipepo umekula hela ya nchi yetuHivi ujenzi wa stiglaz goji umefika asilimia ngapi, tuanzie hapo kwanza...
Unasema Marekani au Mererani?Mkuu acha kulia lia hata marekan umeme tatizo sembuse bongo?? Huku dar sisi shwarii
Unasema Marekani au Mererani?
Ukweli ambao TANESCO hawataki kuusema wazi ni kuwa, hali ya shirika kifedha ni mbaya sana, hawana tena pesa za kuwalipa wazabuni wanaoweza kutuuzia umeme wa dharula wakati umeme wa uhakika unapokuwa hauteleshelezi kwenye gridi ya taifa. Sasa TANESCO inakufa na tai shingoni.
Kwa sasa TANESCO wamepewa maelekezo ya kukusanya pesa za madeni ya wadaiwa sugu kwa nguvu zote ili zitumike kununua umeme wa dharula, maana hazina hawatatoa hata senti tano. Mbaya ni kwamba wadaiwa sugu ni taasisi za umma, kama polisi, jeshi, magereza, ikulu, halmashauri, wizara, shule, vyuo na hospitali za serikali. Yaani hapo ni sawa na kutoboa mtumbwi ambao wewe ni abiria pia.
Ninaowateua Wanashindwa Kufikiria Nje Ya BoxWe we wee! Thubutu yao, unataka wapingane na uchumi wa kati!
Cha ajabu jiwe anatangaza hali shwari ilihal umeme siku nzima hamna.Ukweli ambao TANESCO hawataki kuusema wazi ni kuwa, hali ya shirika kifedha ni mbaya sana, hawana tena pesa za kuwalipa wazabuni wanaoweza kutuuzia umeme wa dharula wakati umeme wa uhakika unapokuwa hauteleshelezi kwenye gridi ya taifa. Sasa TANESCO inakufa na tai shingoni.
Kwa sasa TANESCO wamepewa maelekezo ya kukusanya pesa za madeni ya wadaiwa sugu kwa nguvu zote ili zitumike kununua umeme wa dharula, maana hazina hawatatoa hata senti tano. Mbaya ni kwamba wadaiwa sugu ni taasisi za umma, kama polisi, jeshi, magereza, ikulu, halmashauri, wizara, shule, vyuo na hospitali za serikali. Yaani hapo ni sawa na kutoboa mtumbwi ambao wewe ni abiria pia.
Mkuu upo..huku niliko wamekata leo asubuhi saa 12 na wamerudisha saa 12 na dk 30..Hakuna mgao wala nini. Ni matatzo ya kiufundi tu mkuu