JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
- Thread starter
- #21
Hiyo ni sawa na kujibu swali ulilo tunga mwenyewe halafu utegemee kupata marks nzuri.Maelezo yako wazi tubu na upatane na Jirani yako kwanza.Ila Mungu ni wa rehema sana, anatuhurumia tu pamoja na madhaifu utashangaa Covid19 imeyeyuka ghafla sijui utasemaje? God is of impossibles dont you think??