kama kuna ka mantiki fulani hivi!!! wewe unaonaje!!

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
  1. ati ukichukua maeneo na viwanja vyoooote vinavyomilikiwa na chama cha kijani kwa nchi nzima na kuyaweka pamoja, unaweza pata eneo la kuweza anzisha wilaya mpya!!
  2. halafu ukichukua majengo, magari na asset za ndani zote wanazomiliki unaweza anzisha ka mji kapya tena kazurii tuuuuu, na hata kuiform halmashauri ya mji kabisa!!
  3. ukichukua vyanzo vyao vya mapato, redio, magazeti, parking na majengo wanayokodisha kwa nchi nzima..... inaweza kukaribia bajeti ya halmashauri!!!
wewe unaonaje? ni mtazamo tu......
 
ukijuchukua maprof na ma dr walio nao.... unaweza ukaanzisha chuo kikuu kizuri tu!
 
Ukichukua pesa ya m1 wao anayotumia kwa siku moja wewe utatumia kwa mwezi mzima..ha ha ha ha...
 
ukijuchukua maprof na ma dr walio nao.... unaweza ukaanzisha chuo kikuu kizuri tu!
Watu ni mali ya CCM au U-profesa na U-dokta wa CCM?

CCM wana lease/hati ya viwanja, wana hati za nyumba, wana documents za magari na assets nyingine........JE wanahati au documents za kuwamiliki 'hao Ma-dokta na ma-profesa????

Hutaki unaacha.
 
hako kawilaya kangekua full,maana kangekua na chuo kikuu cha ukweli with proffesional professors,zahanati ya maana,hata burudani zingekuwemo maana pia kuna waimbaji bomba kabisaa..
 
hahahahahaaa! amani kwa tumbo tumbo
 
hako kawilaya kangekua full,maana kangekua na chuo kikuu cha ukweli with proffesional professors,zahanati ya maana,hata burudani zingekuwemo maana pia kuna waimbaji bomba kabisaa..

tena wapo wa "kidunia" na wa "injili".....
 
Watu ni mali ya CCM au U-profesa na U-dokta wa CCM?

CCM wana lease/hati ya viwanja, wana hati za nyumba, wana documents za magari na assets nyingine........JE wanahati au documents za kuwamiliki 'hao Ma-dokta na ma-profesa????

Hutaki unaacha.

ni kweli hawana hati miliki lakini ni mtazamo tu na kujaribu kuangalia wanachama wangapi wa chama hicho wameacha profesionals zao na kuingia kwenye siasa....
 
  1. ati ukichukua maeneo na viwanja vyoooote vinavyomilikiwa na chama cha kijani kwa nchi nzima na kuyaweka pamoja, unaweza pata eneo la kuweza anzisha wilaya mpya!!
  2. halafu ukichukua majengo, magari na asset za ndani zote wanazomiliki unaweza anzisha ka mji kapya tena kazurii tuuuuu, na hata kuiform halmashauri ya mji kabisa!!
  3. ukichukua vyanzo vyao vya mapato, redio, magazeti, parking na majengo wanayokodisha kwa nchi nzima..... inaweza kukaribia bajeti ya halmashauri!!!
wewe unaonaje? ni mtazamo tu......

kama pesa anazomiliki kiongoz wao wa chama ukipewa wewe,UNAZIMIA!
 
Back
Top Bottom