Kama kuna jambo linakwenda kutokea, dalili ya kwanza itakuwa ni kutoendelea kwa kampeni za Mama bila maelezo

Asubiri aone
Awamu hii mchezo uko tofauti mzee
Huyo Muiran ana IQ kubwa na yupo mbele ya muda kuliko hao washamba mnaowategemea. Of course simkubali, ila hilo halinizuii kuona alivyo smart kwenye uovu wake.

Yupo tangu enzi Lowassa na Kikwete ni marafiki, Lowassa kajiuzuru umemsikia Rostam anatikisika? Kikwete kastaafu kaja mtu mwingine completely umeona Rostam anapotea? Kaja Hangaya umeona Rostam anafifia?

Anao uwezo wa kuhama biashara, kuuza hisa, kuwekeza kwenye fursa nyingine, kuondoka nchini akarudi baadae. Yaani huwezi mfanya lolote hesabu zake ziko mbele kabisa na kila kitu analindwa na sheria. Aliuza hisa za Vodacom Tanzania alikuwa largest shareholder akiwa na 35% ya shares mkajua atafirisika. Ikawaje?

Ni rahisi kumkamata Kikwete kwa ufisadi lakini sio Rostam. Sio kichwa cha kuku kile.
 
Wekeni akiba ya maneno...
Sio baadae mnakuja na ID mpya....
 
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.

Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.

Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.

Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
TAPELI Kikwete atakuwa na mwisho mbaya saana
 
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.

Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.

Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.

Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
Kwasasa usalama wake utakuwa mdogo, ulinzi utaimarishwa sana na anaweza kukatiza baadhi ya mikutano
 
Huyo Muiran ana IQ kubwa na yupo mbele ya muda kuliko hao washamba mnaowategemea. Of course simkubali, ila hilo halinizuii kuona alivyo smart kwenye uovu wake.

Yupo tangu enzi Lowassa na Kikwete ni marafiki, Lowassa kajiuzuru umemsikia Rostam anatikisika? Kikwete kastaafu kaja mtu mwingine completely umeona Rostam anapotea? Kaja Hangaya umeona Rostam anafifia?

Anao uwezo wa kuhama biashara, kuuza hisa, kuwekeza kwenye fursa nyingine, kuondoka nchini akarudi baadae. Yaani huwezi mfanya lolote hesabu zake ziko mbele kabisa na kila kitu analindwa na sheria. Aliuza hisa za Vodacom Tanzania alikuwa largest shareholder akiwa na 35% ya shares mkajua atafirisika. Ikawaje?

Ni rahisi kumkamata Kikwete kwa ufisadi lakini sio Rostam. Sio kichwa cha kuku kile.
Subiri uone.
 
Back
Top Bottom