Kama kuna jambo linakwenda kutokea, dalili ya kwanza itakuwa ni kutoendelea kwa kampeni za Mama bila maelezo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,142
Reaction score
162,536
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.

Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.

Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.

Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
 
Screenshot_20251004-205944_X.jpg
Rostom anawaza anatokaje hapa 😀
 
Huu ndio mtazamo wangu hasa baada ya kusoma taarifa iliyotolewa na wajeda. Binafsi naona taarifa yao imethibitisha jambo fulani ila kwa kutumia akili za kiutuuzima.

Kwa sasa, Inawezekana kabisa ameshashauriwa akae pembeni, tatizo ni jinsi gani wataueleza umma.

Nahisi kuna vikao vya mashauriano vinaendelea.

Na pia muda wa kutoa tamko tangu yule mjeda aongee, umeniongezea maswali zaidi.
Umetafakari sawasawa kabisa
 
Polepole anabakia kuwa one of the best whistle blowers wa muda wote katika nchi hii. Amepigana vita ambayo CHADEMA kwa Umoja wao wameshindwa.
 
Polepole anabakia kuwa one of the best whistle blower wa muda wote katika nchi hii. Amepigana vita ambayo CHADEMA kwa Umoja wao wameshindwa.
Alisema document yoyote ya ufisadi ikipotea itapotea na Wewe
 
Tapeli rostam anahaha
View attachment 3483443Rostom anawaza anatokaje hapa 😀
Rostam atakuwepo nasi hata kama nchi iongozwe na kumbikumbi. Sioni mlango wake wa kutokea sema tu udalali wake na biashara za ujanjaujanja vitapungua.

Rostam hawezi yumba kisa meza imepinduka, yupo tangu Abuu anauza matairi Kariakoo hadi leo. Tangu Polepole amekondeana, si mtu wa kupepesuka kisa chura kaondoka.

Hawa huwa wanajiandaa kisheria hata Magufuli alikuwa smart kupuuzia biashara zake otherwise serikali ingelipa fidia za kutosha kwa amri ya mahakama ya uwekezaji duniani.
 
Back
Top Bottom