Huyo dada kakosea lakini na hili tuliangalie na upande mwingine maana kuna wanaume wengine wanahisi mke ndo punda, hata kanga za mama yake hafui au hata ajitolee kusafisha chumba anacholala mama yake ili tuone anakumbuka alinyonya hilo ziwa basi. nafikiri tungepata habari ya upande wa pili tujue
Binafsi sihitaji kusikia ya upande wa pili,sms tu inatosha!! huyo mwnamke hafai hata kwa dk moja,atupiwe vilivyo vyake atembee mbele!!! mama wa mwenzio kamwe hawez kufananishwa na mzigo kwa hali yyte ile!!!!