Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,638
- 2,720
Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! Si ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...