Kama kiwango chako cha elimu hakijafikia masters, tusikuone ukileta utafiti wako uchwara humu!

Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! C ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Utafiti kama upi kwa mfano?
 
Elimu ya bongo nayo ni Elimu? Asilimia kubwa wenye Elimu wanaelimu ya kuajiliwa sio kujiajiri sasa hiyo ni Elimu? Raha ya Elimu uwe unaajiri, Elimu ambayo hujui kipi ni kipi, kipi kinafaa kwa muda huu, na kipi kinafaa kwa muda ule?

Kama mtu anasoma mpaka PHD harafu hajafanya tafiti kitu gani ajiajiri ili atengeneze ajira kwa watu? mpaka anasubiri kuajiliwa aingize ndugu zake wasio na vigezo, je Phd hiyo inaweza kutoa tafiti za ukweli? Wasomi makanjanja ndio wanefikisha Taifa hapa na tafiti zao za uongo zisizo na tija kwa Mwananchi.. Wasomi hao hao wamefanya tatifi sehemu zinazo toa maji baridi, cha ajabu visima havitoi maji na kama vinatoa maji, basi yana chumvi au hayana ladha!! Huo ni mfano mmoja tu kati ya mifano trioni ya hapa Tanzania

NB kama mimi ni Rais natengeneza kamati maalum ya kuchunguza Phd mmezipataje. Kama huna vigezo au hujaletea Taifa tija navitia kiberiti mbele yenu. Kuanza upya sio ujinga, ujinga ni kuendeleza ujinga.
 
Asilimia kubwa ya watu wanaotumia kigezo cha elimu(in the form of Form 4,6,BA,BEng or BSc Masters na PhD)kama silaha yao in reality ni waliopata academic qualifications kwa bahati mbaya.Kibaya zaidi other than papers called certificates THEY HAVE NOTHING!
 
Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! C ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Kwa hiyo wenye Masters wote wanajua utafiti na wasio na Masters wote hawajui utafiti?

Mbona rais wenu ana Ph.D lakini anakurupuka kuhamia Dodoma bila budget, much less utafiti?
 
Kwa takwimu nilizozikusanya inaonekana wadada wengi wako radhi kutafutiwa wapenzi na marafiki zao wa karibu au na marafiki zao wa kiume ambao wanaonekana kuwa ni mfano wa kuigwa kwenye jamii. Idadi kubwa ya wadada wa aina hii ni wale walioumizwa hasa kwa kutokuwa na wapenzi waaminifu au ambao wako dedicated.

Nimejaribu mara kadhaa kuwaambia wadada mbali mbali kuwa wako tayari niwatafuite mahali pa 'kujiweka'? Wengi wao wameonesha utayari wa hali ya juu na wengine wamekuwa hata wakinipigia kufuatilia wajue nimefikia wapi.

Hii inanidhirishia kuwa hata wazazi wetu kutafutiwa wenzi ilikuwa ni jambo ambalo 'walilifurahia' tofauti na picha ambayo tunaipata sasa hivi kuwa walinyimwa haki yao ya kujitafutia wenzi wa maisha.

Hata mimi sasa tu vitoto vyetu na vitoto vya ndugu zangu ambavyo hata miaka minne havijafikisha, lakini nimeshaanza kuona watoto wa marafiki na jama wengine kama potentially wana ndoa wa uzao wetu. Mara nyingi nawataniaga rafiki zangu kuwa binti yako ataolewa kwetu and they seems to be fine with that...
Utafiti: Wadada wengi wako radhi kutafutiwa wenzi!
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...


f11df0a49788cfbab44f22d03d236ef8.jpg
 
Elimu ya bongo nayo ni Elimu? Asilimia kubwa wenye Elimu wanaelimu ya kuajiliwa sio kujiajiri sasa hiyo ni Elimu? Raha ya Elimu uwe unaajiri, Elimu ambayo hujui kipi ni kipi, kipi kinafaa kwa muda huu, na kipi kinafaa kwa muda ule? Kama mtu anasoma mpaka PHD harafu hajafanya tafiti kitu gani ajiajiri ili atengeneze ajira kwa watu? mpaka anasubiri kuajiliwa aingize ndugu zake wasio na vigezo, je Phd hiyo inaweza kutoa tafiti za ukweli? Wasomi makanjanja ndio wanefikisha Taifa hapa na tafiti zao za uongo zisizo na tija kwa Mwananchi.. Wasomi hao hao wamefanya tatifi sehemu zinazo toa maji baridi, cha ajabu visima havitoi maji na kama vinatoa maji, basi yana chumvi au hayana ladha!! Huo ni mfano mmoja tu kati ya mifano trioni ya hapa Tanzania

NB kama mimi ni Rais natengeneza kamati maalum ya kuchunguza Phd mmezipataje. Kama huna vigezo au hujaletea Taifa tija navitia kiberiti mbele yenu. Kuanza upya sio ujinga, ujinga ni kuendeleza ujinga.
we nae sasa kila mtu akiajili wafanyakazi watatoka wapi????elimu uchwara hz
 
bilget alifanya utafiti kabla hajamaliza hata degree na akaamua kuanzisha microsoft na sahizi ni kampuni yenye revenue kubwa duniani na inasaidia watu karibu dunia nzima.je utafiti wa bilget ambao aliufanya akiwa hajamaliza hata degree 1 na wako wa masters upi nu utafiti mzuri
 
masters zipi, hizi zinazotolewa mzumbe un au kampala intl?

Pili usikarili maisha, watu kibao wametoa tafiti nzuri na zenye matokeo chanya katika jamii hata chuo hawakufika.

Lakini pia inategemeana kama akili yako inahitaji busta ya elimu kubwa ndio ifanye kazi haina shida.
Mkuu samahani kipe heshima Chuo kikuu Mzumbe.
Kwanza hakuna usikarili kuna usikariri.
Nikikwambia utoe madhaifu ya MU utatokwa udenda. Heshima tafadhali .Heshima narudia tena.
 
Wengi tunapenda ndoa zetu zifungiwe kwenye yumba ya ibada kwa kadiri ya imani yetu. Ila pale mambo yanapokuwa magumu, hasa inapotokea tofauti ya imani, basi njia iliyobaki ni kufungisha ndoa bomani kwa mkuu wa wilaya.
Sasa kama haya yangekukuta wewe, je ungependa mkuu yupi wa wilaya kufungisha ndoa yako, na kwa nini?


kajipange urudi upya kila mtu ana wilaya yake wewe wa Daresalam sijui wapi utaenda kwa mh.Chabruma

swissme


Sasa wewe umeandika nini mtoa uzi
Ila thread nyingine ni upuuzi mtupu, as we umeandika utoko gani? Eti mkuu gn wa wilaya hivi unafkiri huku dar kuna mambo ya kujuana sjui mkuu wa wilaya km huko kijijini kwenu? We ni buree kabisa

LOL-GIF_1.gif
 
Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! C ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Hivi hiyo masters ndio umeipata hivi karibuni???hao wanaokuzunguka kazi wanayo
 
Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! C ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Vipi rafiki umekunywa viroba au umevuta bange? Kwanza unazungumzia utafiti gani? PhD za wapi? Sio lazima uanzishe Uzi kama huna cha kuandika unakaaa kimya. Sio unaandika utumbo Kama huu. Elimu ya kipuuzi ya vyeti imetuharibia vijana wetu kweli. Unaweza kuta nae anajiita msomi, kwa upeo na mawazo kama haya kazi ipo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom