Hajasabisha taharuki. Hili jamaa huwa lipumbavu pumbavu tu siku zote. Miaka kadhaa lilikuwa linhangaikia admission ya kidiploma fulani uchwara. Leo linalazimisha eti litambuliwe kama researcher. Na kwa upumbavu wake, linasema eti ili lifahamu watu wana Masters Degree, walete hapa methodology, peer review waweke, sampling eti waliwekee hapa lijue kweli wamesoma . Hili kama siyo jiendawazimu ni kitu gani? Kuna tofauti gani na mzee wa "JIOGRAFIA NILIFIKA".?
eti uliwekee hapa sampling, peer review na methodology. Pumbavu kweli halina hata haya. Na ndiyo sababu lilikosa elimu sasa linabakia kuonyesha utupu wake hadharani.
Nimekuuliza, umesema unanijua mpaka kwetu. Kwetu wapi?Wewe huna hoja zaidi ya ujinga!. Hoja gani unayo ya kujidhalilisha eti watu waweke hapa methodology, analysis, empirical review... hivi kama si wendawazimu unakusumbua ni kitu gani?
Hoja ni kwamba mapumbavu kama wewe msilete tafiti zenu za kijinga hapa. Pelekeni nkwa majuha wenzenu!. PERIOD!
Ulimaliza kadiploma uchwara kako au ulifeli? Halafu eti uantaka kulazimisha utambuliwe kama researcher!. Pumbavu kweli kweli!
Aung San Suu Kyi wa Myanmar alitoa speech moja kali sana kuhusu elimu akasema maneno kama yako.Mtu form four ana division 4 akarudia, form six akarudia, chuo akapata sup na carry huyu akaambilia 2.5 akaungaunga post Dp, akapata MSC, MA kwa mbinde baadaye PhD. Mmh huyu naye baadaye anaanza kuwa msumbufu kwa kulingia elimu? Tusiwe na mentality ya Elimu za juu sana tuwekeze kwenye Polytechnic colleges hapa ndy tutajiamini, tunasomesha watu PhD wakati hizo gharama zingesaidia vijana kwenye vyuo vya ufundi zaidi ya 100 halafu candidate anamaliza badala ya kufanya kazi anaenda kugombea udiwani ama ubunge, eheheheh! Na kwa nchi yetu mtu akipata PhD ujue anakaribia 40-50 kaanza kuchoka na ka uvivu ka ufanisi kanashuka why?
Nipo mkuu...Mkuu upo?
Wewe huna hoja zaidi ya ujinga!. Hoja gani unayo ya kujidhalilisha eti watu waweke hapa methodology, analysis, empirical review... hivi kama si wendawazimu unakusumbua ni kitu gani?
Hoja ni kwamba mapumbavu kama wewe msilete tafiti zenu za kijinga hapa. Pelekeni nkwa majuha wenzenu!. PERIOD!
Ulimaliza kadiploma uchwara kako au ulifeli? Halafu eti uantaka kulazimisha utambuliwe kama researcher!. Pumbavu kweli kweli!
Mkuu unakiuka Vigezo na Masharti ya JF.Kazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! Si ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Mimi binafsi I don't trust on papers,I often trust on person's IQ,Wapo watu kibao ni darasa la saba lakini vichwa vyao vimejaa madini mengi sana kuwazidi hata PHD holders.
Yako ya open university pimbi sana wewe bora ungekuwa lordlofaKazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! Si ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...
Ninaposhangaa mala nyingi hawa wa darasa la saba ndo wanaopasua kwenye maisha,siku hz hakuna cha elimu swala ni elimu ya kutafuta pesa kwisha.darasa la 7 wanabeba jembe PHD wanabeba computer mpakato.nacheeeeekaa kama niniKazi ya utafiti ni kazi iliyokuwa reserved kwa watu wenye elimu ya kuanzia masters, PhD na kuendelea.
Cha ajabu Kibongo bongo unakuta mtu wa darasa la saba eti naye anakuja na utafiti wake humu! Si ni kichekesho..? Kama ulikimbia umande funga 'bakuli' lako.... Au andika kuhusu mambo mengine...