Kama kawaida yao!

Kama kawaida yao!

Sikufahamu Kaizer,si unajua sijamaliza hata wiki humu?

okay Marry Hunbig, mi naitwa Kaizer, nina wake wawili hapa. Mke mkubwa AshaDii na mdogowe my sweetlo gfsonwin. Wote wapo kwenye majukumu ya kitaifa, halafu nina shemeji yangu nimoendaye cacico, na nina waaalimu wawili. MMoja ananifundisha hesabu, akiitwa snowhite, na mwengine vitendawili, anaitwa Madame B. nawapenda sana walimu wangu hawa.

Nina pia msiri wangu, akiitwa mwaJ. huyu tunatunziana siri zetu.

Zaidi, mi ni mtaalam wa viumbe hai tu. Umri wangu wapata miongo mitano na nusu. Mrefu, umbo la wastani.

Haya we Mgeni, watokapi, ndo nani hasa? umeshakaguliwa na Asprin, manake ndo babu huku na mkaguzi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Sikia mpendwa! Mie, ukinikubalia kua mpenzi wako nitaokoka' na kumfuata bwana. Ukikataa basi naenda kujiunga na devil worshiper

Warumi 10:9-Kwa sababu,ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana,na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka.

Yohana 14:6-Yesu akamwambia,Mimi ndimi njia,na kweli,na uzima.
Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.
SO,
Njia pekee ya wewe kuokoka na kuwa na uhakika na maisha yako ya hapa duniani na uzima wa milele ni kumkubali Yesu,mimi sina mbingu ya kukupeleka.
Ukiamua kuwa devil worshiper,It is at your own risk manoah.
 
Last edited by a moderator:
Mhmm.. mi namtafuta St. Paka Mweupe jamani.. ndiyo wageni wenyewe wa jamvi hao weekend hii..
 
Aaahhh hapo unazidi kudanganya kinachookoa mtu ni penzi ama damu ya Yesu? Halafu wewe ni tapeli wa mapenzi sanasana utamchafulia kitanda chake kabla ya ndoa,,halafu mwanaume unatakiwa uwe spiritual leader kwa familia yako umepata hiyo......

Sikia mpendwa! Mie, ukinikubalia kua mpenzi wako nitaokoka' na kumfuata bwana. Ukikataa basi naenda kujiunga na devil worshiper
 
okay Marry Hunbig, mi naitwa Kaizer, nina wake wawili hapa. Mke mkubwa AshaDii na mdogowe my sweetlo gfsonwin. Wote wapo kwenye majukumu ya kitaifa, halafu nina shemeji yangu nimoendaye cacico, na nina waaalimu wawili. MMoja ananifundisha hesabu, akiitwa snowhite, na mwengine vitendawili, anaitwa Madame B. nawapenda sana walimu wangu hawa.

Nina pia msiri wangu, akiitwa mwaJ. huyu tunatunziana siri zetu.

Zaidi, mi ni mtaalam wa viumbe hai tu. Umri wangu wapata miongo mitano na nusu. Mrefu, umbo la wastani.

Haya we Mgeni, watokapi, ndo nani hasa? umeshakaguliwa na Asprin, manake ndo babu huku na mkaguzi mkuu

Ahsante Kaizer kwa ukaribisho.
Mimi ni mnyakyusa,natoka kijiji cha Kinera Kijunjwa Tukuyu,ni mdada niliye Single.
Kuhusu kukaguliwa Nicas Mtei alichukua nafasi ya babu,sema ahadi zake za kunikagua zimekuwa miyeyusho hadi leo.
 
Last edited by a moderator:
Warumi 10:9-Kwa sababu,ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana,na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka.

Yohana 14:6-Yesu akamwambia,Mimi ndimi njia,na kweli,na uzima.
Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi.
SO,
Njia pekee ya wewe kuokoka na kuwa na uhakika na maisha yako ya hapa duniani na uzima wa milele ni kumkubali Yesu,mimi sina mbingu ya kukupeleka.
Ukiamua kuwa devil worshiper,It is at your own risk manoah.

uliniambia wewe ni nani villeeee...mke wa mchungaji nanii ee.....
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Kaizer kwa ukaribisho.
Mimi ni mnyakyusa,natoka kijiji cha Kinera Kijunjwa Tukuyu,ni mdada niliye Single.
Kuhusu kukaguliwa Nicas Mtei alichukua nafasi ya babu,sema ahadi zake za kunikagua zimekuwa miyeyusho hadi leo.

Wow kumbe u Mnyakyusa, basi pasi na shaka mary hunbig utakuwa na sifa zote na haiba nzuri za kinyakyusa.
 
Last edited by a moderator:
okay Marry Hunbig, mi naitwa Kaizer, nina wake wawili hapa. Mke mkubwa AshaDii na mdogowe my sweetlo gfsonwin. Wote wapo kwenye majukumu ya kitaifa, halafu nina shemeji yangu nimoendaye cacico, na nina waaalimu wawili. MMoja ananifundisha hesabu, akiitwa snowhite, na mwengine vitendawili, anaitwa Madame B. nawapenda sana walimu wangu hawa.

Nina pia msiri wangu, akiitwa mwaJ. huyu tunatunziana siri zetu.

Zaidi, mi ni mtaalam wa viumbe hai tu. Umri wangu wapata miongo mitano na nusu. Mrefu, umbo la wastani.

Haya we Mgeni, watokapi, ndo nani hasa? umeshakaguliwa na Asprin, manake ndo babu huku na mkaguzi mkuu
Hommie Kaizer unalazimika kusubiri jibu lake au naweza kukuthibitishia kuwa huyu kiumbe hajawahi fika kwenye tabenako yangu ya ukaguzi?
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Kaizer kwa ukaribisho.
Mimi ni mnyakyusa,natoka kijiji cha Kinera Kijunjwa Tukuyu,ni mdada niliye Single.
Kuhusu kukaguliwa Nicas Mtei alichukua nafasi ya babu,sema ahadi zake za kunikagua zimekuwa miyeyusho hadi leo.
Hakuna kiumbe chochote kilichopo duniani kinachoweza chukua nafasi ya babu akiwa hai.

Loooh umeona sasa mpaka leo bado hujakaguliwa? Oh Mammma!
 
Babu Asprin,nimepata tetesi jinsi mnavyo kagua,kumbe ni balaa tupu!!
Hebu nambie utanikagua vipi!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio, mida yao sasa ivi' wengine wapo landmark hotel' wengine mabanzini guest house' wengine nyumbani' wengine kwenye ma hostel' wengine ma ghetoni' wengine wanamalizia mabao mawili ya mwisho' na hili joto! Wa najijua'. Si ni hawa ma ladies wa JF

we nani kakwambia tupo kwenye joto....?
 
Hakuna kiumbe chochote kilichopo duniani kinachoweza chukua nafasi ya babu akiwa hai.

Loooh umeona sasa mpaka leo bado hujakaguliwa? Oh Mammma!

Nimekubali kuwa we mkali babu Asprin! Niliposoma kuwa Nicas Mtei kashindwa kazi ya kumkagua mgeni nikacheka saaana.

Msiri wangu Kaizer ulivyoshabikia huo unyakyusa, angalia usije ukaongeza mke wa tatu kama nduguyo Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom