Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
Habari wakuu;Najua jambo ambalo mtumia solar yeyote linalo msumbua ni ile hali ya kuwa na limit time katika matumizi ya umeme wake.
Kuna mdau mmoja hapa hapa alisha niuliza kama kuna uwezekano wa kutengeneza kifaa ambacho kinaweza ku-extend time usage ya umeme huo wa solar
Sasa katika hangaika hangaika yangu nimegundua IT IS POSSIBLE!
Kifaa hiki nimeki-design ambapo kinaweza ku-square muda halisi wa matumizi.
Kwa mfano mtu anatumia umeme wake wa solar kwa masaa mawili;hiki kifaa kinaweza kumuongezea masaa mawili zaidi(based on omhs law and Kirchhoff's current law) hivyo akatumia masaa manne.
Kama nilivyo sema kifaa hiki kinaweza ku-squre time but this is just a nominal time!
Kifaa chenyewe kina 10 watt!
Kwa mujibu wa Omhs law na Kirchhoff's current law kifaa hiki kimeonekana kinaweza kufanya wonders hizo;But i am not sure in the realy world.
Hivyo naomba mtu anaye tumia solar power;na anajua exactly maximum time ambayo hua anatumia power yake;Nimfungie kifaa hiki kwa majaribio tuone kitaongeza muda gani.Ili kikifanikiwa turudishe majibu hapa jamvini pia kiki-feli turudi msituni kujipanga upya!
Atakeye jitolea kama kikifanikiwa atasukiwa cha kwake bure,atahitajika kununua materials tu!
Ni hayo tu!
Nipo Dar es Salaam
usipige just sms 0657-115587