johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Bwashee, naona unaongea na simu!!Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Ukisikia MATAGA wanajitekenya afu wanacheka wenyewe ndiyo huku sasa!!Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Unasemaje wewe MACHAGA?Ukisikia MATAGA wanajitekenya afu wanacheka wenyewe ndiyo huku sasa!!
Ni utekelezaji wa sheria tu bwashee!Swali sawa na hilo, kama makusanyo yamevunja rekodi na kuvuka lengo, kwanini watu waviziwe wakitoka dukani na vituo vya mafuta kama hawajachukua receipt?
Wewe dogo unauliza maswali gani? Kuhimiza watu kuchukua risiti ni kosa?Swali sawa na hilo, kama makusanyo yamevunja rekodi na kuvuka lengo, kwanini watu waviziwe wakitoka dukani na vituo vya mafuta kama hawajachukua receipt?
Nilikuwa sijaona,kumbe umeshamuweka sawa.Ni utekelezaji wa sheria tu bwashee!
Wewe ni jipu lililoiva au ndg yako au rafiki yako! Naona unatengeneza mazingira ya kujilinda! Hapa Kazi Tu! Kama umekula hela mbichi utaitapika!Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?...
Ni utekelezaji wa sheria tu bwashee!
Hahahaaaa.........!
Hahahaaaa.........!
Chadema wamesusa inabidi tuhojiane wenyewe bwashee.
Nasema uwongo ndugu zangu, tumecheleweshwa munooo ... wapinzani wametuchelewesha kweri kweri.... huwezi ukakaa na mtu anakutukana harafu anataka umupelekee maendereo.. ingawa maendereo hayana chama ira loho inakataa.. nireteeni wa CCM ili niwatumbue. Hawa sijui hata wanatokea wapi siwezi kuwatumbua..nasema ukweri na msema kweriiii ni mpenzi wa MunguNajiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?....
Hata bunge likianza WABUNGE wa CCM watakua wanarushiana madongo wenyewe kwa wenyewe, hasa wale waliokua hawana hoja za msingi zaidi ilikua ni vijembe tu kwa WABUNGE wa upinzani. Kibajaji and the likes.Hahahaaaa.........!
Chadema wamesusa inabidi tuhojiane wenyewe bwashee.
Na bado.Hahahaaaa.........!
Chadema wamesusa inabidi tuhojiane wenyewe bwashee.
Wabunge wa CCM watarushiana madongo na Covid 19 kutoka Ufipa!Hata bunge likianza WABUNGE wa CCM watakua wanarushiana madongo wenyewe kwa wenyewe, hasa wale waliokua hawana hoja za msingi zaidi ilikua ni vijembe tu kwa WABUNGE wa upinzani. Kibajaji and the likes.