Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

Wabunge wa CCM watarushiana madongo na Covid 19 kutoka Ufipa!
Kibajaji akirusha ngumi kwa Lema ilikua inajibiwa kwa uzito unaowiana, sasa leo akirusha kwa Esther Matiko ni unyanyasaji wa kijinsia. Pia ujue hao Covid 19 wako chini ya mbawa za KITI kikuu cha bunge, hawapaswi kurushiwa ngumi.
 
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?

Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa Tamisemi, waziri mwenyewe wa Tamisemi na waziri wa maji kazi kubwa wanayoifanya kwa sasa ni kutumbua tu.

Nilidhani ziara za mawaziri zingekuwa za kuwapongeza watendaji zaidi kwa kutekeleza vema ilani ya CCM msimu uliopita badala ya tumbua tumbua.

Maendeleo hayana vyama!
Leo naona umepona kidogo ugonjwa wako
 
Nasema uwongo ndugu zangu, tumecheleweshwa munooo ... wapinzani wametuchelewesha kweri kweri.... huwezi ukakaa na mtu anakutukana harafu anataka umupelekee maendereo.. ingawa maendereo hayana chama ira loho inakataa.. nireteeni wa CCM ili niwatumbue. Hawa sijui hata wanatokea wapi siwezi kuwatumbua..nasema ukweri na msema kweriiii ni mpenzi wa Mungu
Hajui hata anafanya nini
 
Back
Top Bottom