Mpeleke chit-chat ...madhara ya SMS blia kikompWadau poleni na mahangaiko ya siku,nakwenda kwenye mada husika nipo kwenye uhusiano na binti fulani umri ni miaka 22.
Mpenzi wangu huyu anapenda sana kuchat mimi muda wa kuchat huwa nakosa na anajua shughuli zangu kuwa nakosa muda wa full time kuchat.
Hali hii anadai inamnyima Uhuru wa kufurahia uhusiano wetu.
Amenambia kuwa bora tuachane sababu siwezi kuchat full time.
Bila hiyana imebid nikubali tu sababu yeye kupendwa kwake ni kuchat.
Nawasilisha wapendwa
Unakereka wapi?Vitu vingine vinakera
Toa namba watu wamchatishe we si huweziAre u serious??
sasa kama ana kazi muda wa kuchat anatoa wapi?Ana kazi huyo