SawaNimekuzimikia sana tuu
MPE nafasiWadau poleni na mahangaiko ya siku,
Nakwenda kwenye mada husika,
Nipo kwenye uhusiano na binti fulani umri ni miaka 22. Mpenzi wangu huyu anapenda sana kuchat mimi muda wa kuchat huwa nakosa na anajua shughuli zangu kuwa nakosa muda wa full time kuchat.
Hali hii anadai inamnyima uhuru wa kufurahia uhusiano wetu. Amenambia kuwa bora tuachane sababu siwezi kuchat full time.Bila hiyana imebidi nikubali tu sababu yeye kupendwa kwake ni kuchat.
Nawasilisha wapendwa
SimujuiHuyo ndio nani??