Kama huwezi kuchat basi tuachane

Kama huwezi kuchat basi tuachane

haya mambo ndio yananifanyaga nisidate na vitoto hapo hapo utakuta kinapenda hela vibaya mno sasa kazi zitafanyika saa ngapi ?....na kwakuomba hela wa stail hizo ni kiboko
 
Ndio shida ya kupenda vitoto visivyo na kazu za kufanya au majukumu kama JOANAH na KAPEACE
 
Hivi kwanini nyie wanaumee mkimgegeda mwanMke maranyingi huwa mnaona ufaraha
 
Braza muda ulioanzisha hii thread si ungechat nae kupunguza makali
 
Back
Top Bottom