Kama hupendi kelele usioe

Kama hupendi kelele usioe

Inasemekana wanawake huwa Wana "uchizi"...ikitokea ukiwakamata lazima mgombane.....

Itokee unafanya kazi ofisi imejaa wanawake lazima utagundua kuna siku wananuna bila sababu....au mnapigizana kelele bila sababu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au anatafuta Ugomvi kinguvu...Ilimradi tu.
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naoa ila sitoi ushirikiano kwenye mambo ya kisengerema
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangazo la biashara hili.
 
Hii 2024 hizi siri kutoa mnatoa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom