Kama hupendi kelele usioe

Kama hupendi kelele usioe

Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele
Unapatikana wapi
 
Iko wazi wanaume hatupendi kelele ila kuwaoa tutawaoa na ukileta kelele unatulizwa maana miongoni mwa majukumu tuliyopewa km wanaume ni kuhakikisha mnanyooka
Unapenda kunywa nini?? Nidai cha weekend mkuu!

Wa kwangu ananiambiaga kama kuna kitu hakiwezi nishinda basi ni wewe! 😂 Kwahiyo mimi ni kitu? 🤷🏻‍♀️
 
Hahah usijali mkuu nikiwa kwa mangi ntakushtua mkuu!

Km mtu amekubali kuolewa na ww maana yake yuko tayari kukusikiliza na mwanamke always hna tofauti na mtt ndani ya
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele
Baada ya kelele zenu huwa hampatagi muda wa kutafakari kuwa haya mambo nimeongea ilikuwa lazima niongee au nimezidisha/ nimeongea unnecessarily.?

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Alinipigia kelele mbele za watu posta dar pale, nikarudi nikamuwamba makofi ya kuremain on the line submissively hadi Leo imepita miaka 5 hajarudia.
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele
Sasa inaweza kuwa wewe hata ikiwa hivyo kelele naa karaha kama zote🤣
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele
"Nunuwa uchape lodge urudi kwako" mwisho wa kunukuu.

Wanaume tuishi humo.
 
Mwanaume hana muda maalumu anachokifanya kwa wakati huo ndiyo sahihi ,hivyo acheni kutupigia makelele mnatuviruga sana sema tatizo hapo kati kwenu kwenye mapaja mnakakitu flan hivi kanatufanya tuendelee tuu kukaa ila mna tukwanza na makelele yenu.
Nunuwa chapa lodge rudi kwako, mmeshapewa code hiyo mpendwe vipi sasa?
 
Kelele mmeumbiwa swali ni je?tutaishi bila kuoa tutaishi bila familia?

Kipindi Mungu anamuumba adam kulikuwa na utulivu sana...
Na ndomana wanaume na kelele ni vitu viwili tofauti.
 
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!

Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.

Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.

Ndimi mke asiye na kelele
tupo hapa wapenda kelele
yaani sisi tunaoa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom