Mimi nimesha plan nyumba yangu lazima iwe na chumba changu binafsi kisicho husiana na yoyote ili kukwepa kelele




sababu ipo, wanawake baadhi wakiwa kwenye siku sao za hedhi hawana furaha na wanakuwa wakali sanaInasemekana wanawake huwa Wana "uchizi"...ikitokea ukiwakamata lazima mgombane.....
Itokee unafanya kazi ofisi imejaa wanawake lazima utagundua kuna siku wananuna bila sababu....au mnapigizana kelele bila sababu
Sahv ameshajisahau tena huwa anaendeleaKwahiyo zimekoma milele?
07136951##Nipe namba ya Mkeo nimpe pongezi kwa kuwa original. Mwanamke kelele bwana!
Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wanatumia hili kama kisingizio. Ni kama ujauzito. Wanawake, baadhi, hutumia kisingizio cha ujauzito kuleta vurugu zisizo na kichwa wala miguu kwa waume zao.Ni hormones tu particularly Estrogen. Estrogen levels zikiwa low you may feel sad, anxious or frustrated hata bila sababu.
Maadam nitakua si shindi nyumbani , huko nitakuwa wakati wa kulala na wakati wa wikiendi , binafsi tokea utoto wangu nimekua mtu wa peke yangu, na vile nimezaliwa peke yangu!Utakaa huko masaa mangapi kati ya 24?
Hapana Nisha plan kabisa, tena sio chumba bali ni nyumba ya uwani, hata wazee wetu walikua wanakaa mbali na wanawake, ndio maana waliishi maisha marefu.chumba Chenu sio chako.
Utajinyea wewe shauri zakooKelele nazopenda ni zile za kitandani...
Jamani wa..waa...wakiiiip... Wakipe.. aaaaai... Wakipek....asssiiiii.... Niiiaa...Ch...wewe wakipekeeee unajua
Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wanatumia hili kama kisingizio. Ni kama ujauzito. Wanawake, baadhi, hutumia kisingizio cha ujauzito kuleta vurugu zisizo na kichwa wala miguu kwa waume zao.
Maadam nitakua si shindi nyumbani , huko nitakuwa wakati wa kulala na wakati wa wikiendi , binafsi tokea utoto wangu nimekua mtu wa peke yangu, na vile nimezaliwa peke yangu!
Hakuna kitu ninachopenda maishani mwangu kama kuaa peke yangu au kuto semeshwa.
MuumbaNani aliwapa hayo majukumu?