n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,536
- 7,254
Mwaka huu badilikeni wajameniWanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha

I like that babeHahaha kelele zako hua nazituliza with deep kissing...
Naoa liwalo na liweMi nakwambia usioee…
Ngoja tuendelee kusoma moment ila da makelele noma sanaUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele![]()
Usiazimwe nguo na aliye uchiMaisha ya sasa utakuta mtu asiye na viatu ana mshauri mwenye viatu😂😂
You nailed it. Nilishawahi kusema hapa nikiongea na mwanamke hata kwa dakika 2 huwa nahisi kama ananipigia makelele, unless niwe nimelewa.Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!