Ndio nyinyi wale mkiona mume yupo kimya bhasi mnatafuta kisa au jambo lolote tu ili ujue hisia zake zimekaa vipi🤣Kama kuwakosha tu umejua kuwakosha leo.
Mi mwenyewe nina kelele tena hata sio kidogo kwanza kuvumilia jambo likinikera kwa umri huu hata siwezi labda nikiwa mzee huko.
Hahahaaa. Mie mpaka niwe na sababu nje ya hapo ni full vicheko na furaha tele.Ndio nyinyi wale mkiona mume yupo kimya bhasi mnatafuta kisa au jambo lolote tu ili ujue hisia zake zimekaa vipi🤣
Mnakuwa kama wanawake wakikurya wasipopigwa na wanaume zao wanajua mapenzi yamekwisha.
Hiyo ni period, bado menopause…… ile kisirani inakaa hapo si ya dunia hii.Siku zao za Period wanakuwaga na kununa nuna na kukasirika bila sababu
Maisha ya sasa utakuta mtu asiye na viatu ana mshauri mwenye viatu![]()




Kwa hiyo Mumy huko tunakoelekea ndo hatari zaidi? 😂Hiyo ni period, bado menopause…… ile kisirani inakaa hapo si ya dunia hii.
Ni kubaya! 😂😂 Nimeona watu waliokuwa na kisirani kimeongezeka kuwa kisirani plus plus.Kwa hiyo Mumy huko tunakoelekea ndo hatari zaidi? 😂
Uwiii! Kwa kuwa hakuna namna wacha tu tuone itakuwaje. 😂😂Ni kubaya! 😂😂 Nimeona watu waliokuwa na kisirani kimeongezeka kuwa kisirani plus plus.
Kama kuwakosha tu umejua kuwakosha leo.
Mi mwenyewe nikikerwa nina kelele aisee tena hata sio kidogo kwanza kuvumilia jambo kwa umri huu hata siwezi labda nikiwa mzee huko.
Hiyo ni period, bado menopause…… ile kisirani inakaa hapo si ya dunia hii.
Hasa hasa pale mnapo amka kuandaa watoto asubuhi waende shule mnapiga kelele sana mpaka mnasababisha hatusubiri chai zenu kukimbia kelele

.
Kabisa yaani. Kukaa nalo rohoni ndio mwanzo wa kuwa na visasi.Shogaangu, usijibanebane. Presha na ndugu zake huwapata wanaotaka kuishi nje ya uhalisia.
Ukikerwa zungumza kisha achana nalo.
Nakubaliana na wewe piaSawa,ila nakazia tena....huo ulioongelewa ndiyo ukweli mkuu
Sasa hutaki nicheze na sperm zangu live. Acheni visirani nyieNa usipoangalia tunakuchanganya wewe na wanao. Mimi namwambia mtoto avae viatu, anakuja kwako unaanza kucheza nae unamuweka kichwa chini miguu juu mnachekacheka.
Naachaje kufoka?