Kama hupendi kelele usioe

Kama hupendi kelele usioe



Yani unawaza kama mm

Nawaza watu wanawezaje kukaa na mke in one bedroom. Akianza kelele zake hakuna hata kwa kujifichia yaani akigeuka huku akikuona umetulia anaanza kelele.

Ukiwa na nyumba kama ya mwijaku anapiga kelele upstairs wewe unakaa downstairs unafuta vioo..

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Mbona simple tuu,unaweka earphone kwenye maskio au unalala hujibu chochote kesho hatorudia maana si utakuwa umemdharau au hajui unawaza nini?

Hao watu ukijifanya unajibu ndio wanapenda maana Nguvu Yao ni mdomo so kuwakata Kilimi unampotezea,atapiga kelele zake Ukiwa unamkaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom