Kama huna meno usifungue hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama huna meno usifungue hii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mohammed Shossi, Apr 20, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Jamaa mmoja aliiba TV, akaibeba na kisha akaanza kukimbia nayo,kumbe kwenye ile nyumba aliyoingia kulikua kuna mgonjwa wa akili, akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza spidi na mwenzie huyo hapa kuona hivyo mwizi ikabidi asimame asalimu amri. Yule mgonjwa wa akili akamsogelea na kumwambia daaah umesahau rimoti.ji0ni njema.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 857
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh.inachekesha
   
 3. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Ila hapa si mahala pa Nafasi za Kazi na Tenda????? LAKINI INACHEKESHA INHI INHI INHI INHI INHI
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  kweli nimekosea
   
 5. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  kumbe una sauti mbaya hvyo ukicheka!
   
 6. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahahaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...