Soma tena kichwa cha habari utaelewa vizuriWanaona wazee wa miaka 50 tena binti miaka 20 hadi 25, sasa unazungumzia miaka 36 bado baby kabisa.
Fatilia kipindi cha Chereko Tbc kama bado kipo asilimia 90 wanao oa ni 40 above na si kuwa wale wote wameshazaa.
NB. kupanga ni kuchagua kila mtu afuate maisha yake.
Wanaona wazee wa miaka 50 tena binti miaka 20 hadi 25, sasa unazungumzia miaka 36 bado baby kabisa.
Fatilia kipindi cha Chereko Tbc kama bado kipo asilimia 90 wanao oa ni 40 above na si kuwa wale wote wameshazaa.
NB. kupanga ni kuchagua kila mtu afuate maisha yake.
Kama anaona miaka 35 ni mingi sana....inawezekana mtoa mada ni kijana mdogo sana.....Unaongea na vijana wa kiume au wa kike?
Kama una hela zako kimaisha upo vizuli wanawake wanakuona bado ni kijana lakini kama una 36 huna hela and above Basi unaingia ktk kundi la wazee alafu pia ukumbuke ni mwanamke wa umri Gani atakubali kuwa na ww aache kijana mwenzakeEti 36 ni mzee? Ha ha haa