Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama.
Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na nani uzee wako umalizie na nani ushachakaa tayali.
Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au oa.