Kama huna dem chuo.Itakula kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama huna dem chuo.Itakula kwako

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KAUZUDAGAA, Sep 24, 2012.

 1. K

  KAUZUDAGAA Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
  Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Ushauri mzuri sana huu dili kupigamsuli mademu wanataka pesa pesa yenyewe 225,000/-
   
 3. K

  KAUZUDAGAA Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umeona eeh ucje sahau kusoma
   
 4. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha!ha!ha! usipopata dem chuon utakuja kupata wap tena kaka? ukianza kazi unakuta madem wote kazin wanamausiano na watu zao tangu vyuon, taratibu kaka kazi na dawa hiki chuo sio secondary ata maprofeseee wanakushauri ukiwa na dem ndo shule inapanda kinoma noma poleeeee ehe
   
 5. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  Ukipata mpenzi mwenye akili za kuzaliwa + za Elimu yake, chuo utafaidi balaa, utaona raha mchana na usiku, afu awe anaudhuria mazoezini kwa wakati wee! kocha ujasema, mchezaji huyu! yani masomo ni easy na kila siku ni safi yaani fresh, Muulize dani mimamo maana ya siku nzuri. namithi chuo miye
   
 6. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duh nikahisi nimeingia fb!!ngoja nirudi jf
   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  title na uzi wenyewe mbona vinaenda tofauti?
   
 8. e

  elank54 JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wengne bila madem kitabu hakipandi .. Yani ni kama catalyst tokea std 5 mpaka nafaulu form 6 !!!
   
 9. T

  Thebony Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mee simo wala sichangi
   
 10. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  1.5 kb
   
 11. e

  elank54 JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndo capacity ako mpigamsuli??? Mi yangu ni ndogo tu 9tb
   
 12. mwaxxxx

  mwaxxxx JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  haya kizazi cha .co.tz
   
 13. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  sijaona kitu hapa mbongolala
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,800
  Likes Received: 36,833
  Trophy Points: 280
  Karibu sana jamvini.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 15. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  childish thread.
   
 16. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja. Heading inasomeka Kama huna dem chuo itakula kwako - ikiwa na maana kwamba utapata shida kama hutakuwa na demu chuoni.
   
 17. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  1000,000,000,000 kb hapo mkuu umenifurahisha sanaaaaaa
   
 18. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  yaliyomo YaMO:
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,476
  Likes Received: 19,871
  Trophy Points: 280
  hii inabidi ihamishiwe chit chat
   
 20. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  vipi ndugu, unaka-experience na vibuti nini?
   
Loading...