hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,448
Habari zenu Wakuu,
Kuna mambo mengine ukiyasikia utashangaa sana na/au hutaamini kabisa lakini ndo uhalisia wake unabakia hivyohivyo
Kama hujui ni kwamba;
1.nchi mbili zilipigana vita sababu ikiwa ni vurugu zilizoanza kwenye mpira wa miguu- Elsalvado na Honduras
2.ukiwakiwa na jua unapata vitamin K kadhalika ukinyeshewa na mvua unapata vitamin B12
3.kuna mmea unakula wadudu-kwa Kiingereza unaitwa Fly-trap Flower
4.kila baada ya siku 64 kope zako zinakuwa zimeng'oka zote na kuota mpya
5.nywele za kichwani mwa mtu ni ni laki na ishirini na nne elfu 124000 (kwa idadi)
6.nywele za nyani (manyoya) mwili mzima ni elfu moja 1000 (kwa aina)
7.nchi ndogo kabisa duniani ni San Marino (kwa eneo la kilomita za mraba)
8.Japan na Marekani ni Majirani zaidi ya Tanzania na India
9.Alaska ilikuwa ni eneo la Urusi miaka ya nyuma huko wakaiuza kwa Marekani
10.hayo yote niliyoandika hakuna hata moja nimehusika kwenye utafiti (sitarajii swali)
Hii ni mifano kadhaa nimeleta na wewe ongezea unayoijua...