Kwa kipindi kile muvi za kihindi zilikuwa juu Nazo ungeshusha Baadhi kama Mard vishwatma disco dancer Loha Tridev nk
Naipenda sana hiyo movie ya THE BODYGUARD FROM BEIJING.
Sasa hivi upo chitchat ila baadae unaweza kupekekwa EntertainmentHivi huu uzi nitaupata jukwaa gani baadaye nikitaka kufatilia baadhi ya muvi nizinunue Kaka
Only the way....Natamani niione tena the hard way
Brother Unataka Kusema Mimi Sipo Sawa Kiakili
Namsubiri Huyu Mtafiti Mondray Na Huu Uzi WakeMimi pia hakuna niliyoiona hapo