Kama hujaona hizi basi bado sana

Kama hujaona hizi basi bado sana

1. Vantage Point
2. The Spy Who Dumped Me
3. Beverly Hills Cop
4. Iron Man 3
5. Pulp Fiction
6. Face/Off
7. Tropic Thunder
8. Spectre
9. Rush Hour
10. Double Jeopardy
 
Hakuna movie ya maana katika hii list zaidi ya TROY, i mean zile za kiume. Angalau hata ungeingiza zile za akina blood diamond,, crying sun and a like.
 
Predator2 ,(1987)
Kuna kitu cha apocalypto cha mel gibson kifupi ni kuna movie nyingi mno ambazo ni kali sana kuna moja hivi nadhani inaitwa 2002 kuna lone survivor(hii ni kali mno) behind the enemy line ,the bodyguard from beijing,
 
Kuna kitu cha apocalypto cha mel gibson kifupi ni kuna movie nyingi mno ambazo ni kali sana kuna moja hivi nadhani inaitwa 2002 kuna lone survivor(hii ni kali mno) behind the enemy line ,the bodyguard from beijing,
Hiyo behind the enemy line hasa ile ya kwanza ya rubani wa usa nchini bosnia ni fire.
 
Mkuu hivi uko serious kweli?? Hizo movie ndio unaweza sema ni the best??

1. Dead play
2. No retreat no surrender
3. The hard way
4.lucky 7
5. American ninja
6. 13 hours of bengazi
7. Black hawk down
8. Komando samweli[emoji23]
9. The bodyguard ya jetlee
10. IP man

Bonus naweka wanted ya angelina jolie na nelia ya sauzi Africa

Hivyo ndio vitu vya kuandika sio list yako[emoji23][emoji23]
Hiyo namba 6. Ni nyofoko ni vinu mwanzo mwenga mwaaa mwiiii.... Jamaa waarabu walikinukisha hatari Sana ...
 
Best kwangu .

China sales man
War of drones
Ip man 1,2,3
Witch
images (3).jpeg
Witch
 
Back
Top Bottom