Kama hujaona hizi basi bado sana

Kama hujaona hizi basi bado sana

Mkuu napenda zenye mambo ya FBI na CIA,, ipi kati ya hizo ukiiondoa Salt?
 
Kuna kitu cha apocalypto cha mel gibson kifupi ni kuna movie nyingi mno ambazo ni kali sana kuna moja hivi nadhani inaitwa 2002 kuna lone survivor(hii ni kali mno) behind the enemy line ,the bodyguard from beijing,
 
Hizo zote nimeziona.Tatizo watu wanapagawa na movies design ya Black Panther
 
Mkuu hivi uko serious kweli?? Hizo movie ndio unaweza sema ni the best??

1. Dead play
2. No retreat no surrender
3. The hard way
4.lucky 7
5. American ninja
6. 13 hours of bengazi
7. Black hawk down
8. Komando samweli[emoji23]
9. The bodyguard ya jetlee
10. IP man

Bonus naweka wanted ya angelina jolie na nelia ya sauzi Africa

Hivyo ndio vitu vya kuandika sio list yako[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom