Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

Wabongo wanamatatizo kwa hyo hamtki tena wachezaji wapewe motisha hizo pesa za muhindi utafaod vip walivyo wabahili hao watu yaan mm yanga Ila Simba wasinde na moo hela cmtoke mzunguko wa hela utokeee alalah shindaa Simba mpewee magar na milion 260 kwa kila goli pesa mingi hyo
 
Sasa mtu mjinga mjinga na maskini Kama wewe kumdharau bilionea Mo huon Kama unahitajika kupelekwa Milembe?
Aje kimtaa kwa mtaa mkuu.. unaweza kuwa unamuita mjinga lakini anapata ugali wa kila siku kwa pesa zake.. Mo ametengenezwa, kazaliwa kwenye hela, hivyo kuna wengine Mo atawazidi kwenye hela za kuzikuta si kwa kutafuta kwa mikono yale

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli Mo kaitoa hiyo ahadi ni sawa kwa upande wala asilaumiwe anatakiwa apongezwe. Kumalaumu kwa sababu ya kutoa ahadi ni kumwonea tu kwani yeye kwa upande wake ametimiza wajibu wake kwa kuleta hamasa kwenye timu na kuinua morali upya kwani wachezaji walikuwa wameshapoteza matumaini kabisa.

Suala kubwa hapa ni jee benchi la ufundi limejiaandaaje kukabiliana na dhahama ya Kaizer Chief? Kwani wale jamaa wako vizuri sana maumbo yao makubwa, mpira wanauweza sana, wana kasi sana na benchi lao la ufundi lililizidi mbinu kwa mbali sana benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa kwanza kule Afrika Kusini. Sitashangaa sana Simba akipigwa tena goli za kutosha na hapa nyumbani.
 
Sasa hata ukimdharau Mo wewe ni nani hata kwenu hawakujui😀😀😀😀😀😀
 
Nawe bora tukupuuze kwenye hili la simba bakia utopolo tuachie simba yetu, Mamelody sundown walizawadiwa gari kila mchezaji na benchi la ufindi, kwani simba wakipewa inakuuma nn wakitimiza lengo
 
Kesho ifike haraka hizi kelele ziishe tu.....tayari nina ticket na jezi ya vijana wa wanu ofu ze griitesti African friidomu faita Nelson Olisasa Tata Mandela
 
Back
Top Bottom