Kama hiki kikosi unakijua, wahi chanjo ya Corona

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900


Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua

Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi chanjo acha ujinga.

Mzungu angekuwa na nia mbaya na wewe basi angekuulia kwenye njia nyingine kama kukuwekea virusi vya ukimwi kwenye condom ama vyovyote vile maana 90% ya maisha yetu kiafya tunamtegemea yeye
 
We unajuaje kama hawafanyi hivyo?
 
Madenge, kipepe, hui hui, baba madenge, mzee meko, kobelo, ulanzi, nsa kizange, chan'gaa, mataptapu, kaisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ