Kama hii ikiwezekana, sioi mapema

Mmh wanawake kazi ipooo, mijitu mingine inaoa kisa uvivu wake kazi za ndogondogo hawezi ! na mwanamke akiugua tu atalazimishwa apike amfulie ndipo apumzike mfyuuuuiu, khaaa hebu tusubiri ambaye akikupata atafikiri mungu kamjaalia kumbe wew ulitaka tingatinga
 
naona kama jamii itanichukulia vibaya, maana siyo kawaida hii

ni kweli, ila we ndio unajua unahitaji nn....i thnk ukipata housegirl huyo msichana in a few months utambadilisha kuwa mke na hilo ninauhakika wa asilimia 100 kwamba unalijua na ndicho utakachokifanya cz itakuwa nyie wawili tu na maisha kama ya mume na mke (stay home wife na working husband)...mwisho wa siku ni maamuzi yako, goodluck
 
hahahahahaa mleta mada umenifurahisha, kama ukifikia uamuzi ni kuoa namuonea huruma sana huyo atakaekuwa mkeo.
 
Inawezekana kabisa Mkuu.......cha muhimu tafuta housegirl mwenye makalio makubwa!
 
Huyo hausgel anaweza kuwa anakuja na kuondoka...
 
Hili ndiyo tatizo la kuwa na vyuo vikuu vingi, ukiuliza Elimu ya mleta mada, atakuambia yupo mwaka wa mwisho chuo kikuu fulani.
 

ukifanya hivyo ujue kabisa ndo mkeo. hata ikija shwala la kuchagua basi umchague kama mke...hahaha
 
Hili ndiyo tatizo la kuwa na vyuo vikuu vingi, ukiuliza Elimu ya mleta mada, atakuambia yupo mwaka wa mwisho chuo kikuu fulani.

hahahaaa! sawa mkuu hujui tu, unaniona mtoto sana haya we mkubwa toa mawazo ya busara
 
 
Inawezekana kuwa na HOUSE MAID hata kama hujaoa. Lakini atakuwa ni wa kutwa yaani anakuja asubuhi akishamaliza kazi zake anaondoka. Ufunguo mtakubaliana sehemu ya kuukuta anafanya usafi, kupika kwa kufuta menu iliyompa akimaliza anaondoka.

Hii kwa Nairobi ni kawaida kabisa na ni hao maid in wamana watu wazima ambao huna budi kumpa heshima kama shangazi yako
 

sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…