Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.

Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,

Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?

UBAYA UBWELA

Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?

Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
INCHI.
 
Ushoga ni kisingizio acheni haKi za watu wauwaji wakubwa nyie
 
Yaani wewe ni ng'ombe, mkia na nundu kabisa!
Mnajifaragua kuuzuia ushoga wakati humo ccm umejaa kupitiliza 😅🤣😅
 
Hivi mnaona amiri jeshi mkuu anavyodhalilishwa? Au ni nyie wenyewe?
Hivi unaona watu wanavyouawa na kupotezwa, kila anayekosoa ni vitisho, Mzee Ally Kibao, Soka, Mdude, na wengineo. Hili kwako limekaaje mdau. Au hiyo Tanzania unayoipigania wewe ni ya namna gani?
 
Hivi kwanini hao kina karua na mwangi na wengineo wakenya wanaojidai haki za bonadamu kwanini wasiwatetee wale wapemba waliouwawa na mkapa na wengine kukimbilia mombasa?
Hawakuwaona? Au hawakuwepo?
Kwanini sasa?
Kwani wewe ukiwatetea unapungukiwa nini?

Madhulumu wa haki ni wengi sana katika kila kona ya ulimwengu, hivyo kazi ya watetezi ni kugawana jukumu hilo kwa portions, watu wawili watatetea kila mdhulumiwa waweze?

Tanzania, Gaza, Ukraine, Congo, Sudan, Nigeria, North Korea, Yemen, Syria, Lebanon, Haiti nk watu wanaumizwa. Tetea unavyoweza na unapoweza, ni mgawanyo wa majukumu.
 
Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.

Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,

Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?

UBAYA UBWELA

Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?

Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
Sawa, Samia na 'tax' wameshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani.
 
Umeongea vizuri lakini kwenye swala la mbwai iwe mbwai apo tanzania awawezi pigana na nchi jirani kisa ao watu wao wenye mdomo mchafu watuachie tz yetu
 
downloadfile.jpg
 
Yaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.

Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,

Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?

UBAYA UBWELA

Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?

Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
MILA, DESTURI NA DINI ZIMEKATAZA!! JE TANZANIA SHERIA YAKO IMEKATAZA?? HADI MNATAFUTA SABABU... HAMNA MWANAHARAKAT ALIOLETA USHOGA HAPA KWETU NO REFORM NO ELECTION FREE TUNDU LISSU TUPIGE KURA MNAOGOPA NINI??
 
Thamani ya Tanzania ndio kufurahisha wakenya?
Yaani Tanzania isambaratike kisa lisu anataka urais, big NO
KISA WANACHI TUNAITAJI REFORM SIO LISSU ASHINDE HAPANA KAMA HUJACHOMA KIINI MACHO UJAFUNGWA MIGUU KUPIGA KURA.... NO REFORM NO ELECTION
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom