OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,882
Hellow wakuu
Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio awasaidie, polisi anategemea wezi na wavunja sheria akawakamate alipwe na serikali, mhasibu akutunzie na kukuhesabia pesa zako ila utamlipa mwisho wa mwezi.
Azam ili wakuonyeshe mpira lazima uwalipe elfu 28 ya kifurushi ndio upate access.
Wewe ni nani mwanamke ambaye hujawahi kulala nae unampa pesa bila kuifanyia kazi?
Wewe ni nani hadi unampa mtu pesa yako bila yeye kuifanyia kazi
Wewe ni nani Ndugu zako unawapa sehemu ya mshahara wako bila wao kuufanyia kazi?
Unamkuta mtu balabalani analalamika hana nauli unampa prsa yako bila yeye kuifanyia kazi?
Ukiona una roho nzuri kiasi hicho kwenye hii dunia ya kibepari sahau kuhusu utajiri
Nawasilisha