mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,222
daah wameupata utajiri kwa kudhulumu manamba wa tanzaniaUkilalamika wanakwambia,kunawenzio kama wewe wanalilia kazi hii.Yaani ukionewa ukae kimya[emoji1784][emoji1784]
ukihoji umekwisha! tunasafari ndefu sana vijanaSekta binafsi wananyanyasa Sana wafanyakazi maana hiyo hakiyako kidogo ambayo unapaswa kupewa kwa wakati pia hupewi yaani nimanyanyaso tu
not such easy chief?.....Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!...
..Usitegemee kipato kutoka mfereji mmoja tuu..... ongeza mifereji mingine
na nauli za daladala ziko juu, mbagara to vingunguti kila siku chiefna sukari nayo nasikia 5000
Acheni kupiga kelele badala yake njooni tuchimbe madini.jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. wengi tumeangukia sekta binafsi.
Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. wengine wanaingia usiku.
Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa gardaworld ama section foremen na hiyo bukutano yenu mtapewa mwisho wa wiki.
Kuna taasisi pia nilifanya nayo kazi, ilifikia hatua unasaidiwa hela ya msosi na client wako. na mkilia kwa Manager kuwa mshahara hautoshi, Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!
Hivi najiuliza maofisa kazi, wizara ya kazi na ajira, Osha, WCF na watu wa haki za binadamu mnaijua hali wanayopitia Watanzania wenzenu humo viwandani na sekta binafsi?
Bora uuze uji, kuliko kwenda kuzeeka kwa mo dewji au bakhresa.jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. wengi tumeangukia sekta binafsi.
Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. wengine wanaingia usiku.
Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa gardaworld ama section foremen na hiyo bukutano yenu mtapewa mwisho wa wiki.
Kuna taasisi pia nilifanya nayo kazi, ilifikia hatua unasaidiwa hela ya msosi na client wako. na mkilia kwa Manager kuwa mshahara hautoshi, Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!
Hivi najiuliza maofisa kazi, wizara ya kazi na ajira, Osha, WCF na watu wa haki za binadamu mnaijua hali wanayopitia Watanzania wenzenu humo viwandani na sekta binafsi?
nimechimba sana mkuu, kwa mchimbaji mdogo sishauri mtu afanye. labda uajiriwe GGM ,Shanta nkAcheni kupiga kelele badala yake njooni tuchimbe madini.
bora saidia fundi, nalamba 15,000 kwa kutwa. Sema na yenyewe haina uhakika wa kila siku. Maisha ni changamoto sana hasa kwa vijana.Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. wengine wanaingia usiku.
hao wote ni watanzania wenzetuwakati nasoma bandiko hili niko kiwanda cha uchanaji mbao daaah jamaa hawana kitendea kazi chochote sio barakoa, miwani wala mabuti magumu
kifupi mazingira,ni hovyo na posho ni iyo buku tano kwa siku
hongera yako chiefbora saidia fundi, nalamba 15,000 kwa kutwa. Sema na yenyewe haina uhakika wa kila siku. Maisha ni changamoto sana hasa kwa vijana.