Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

very true watu wamekuwa walemavu kwakuwa ma ajali ya kila namna yanatokea kwa hao jamaa plus bangi na visungura kimsingi wanawaita maafisa usafirishaji kwa ajili ya ujinga wao tu na wanawatumia kwenye siasa lakini hao jamaa ni janga kabisa kwa nchi.
 
Ikiwa hakuna ulazima wa kupanda Boda , basi usipande.
Apostle NINI KIMETOKEA 🥺

Mpaka Leo sipo sawa siku izii hata niwe na haraka vipii SIPANDI NG'OOO BODA BODA SIPANDI NG'OOO.

Hapa dar es salaam ni machinjioniii kwa BODA BODA na ingekua ndio kazi yangu ili Nile ntashindwa kwa kweriii maana tangu nipate ajari last year muda kama huu mwaka Jana nilikua siwezi kutembea kabisa 🥺🥺🥺

Asante sanaa Mungu nimeanza KUPONA KABISA muda huu japo siwezi kurudi kua kama zamani MIMI NINA TESTIMONY JUU YA HILI.
 
Pole Sana Ila hiyo kitu Mkuu kwa DSM usipande kabisa Mimi jana kuna jamaa bodaboda wa mtaani .

Amefariki Kama utani na jamaa hii ilikuwa ajali yake ya pili ndani ya miezi miwili.
 
Haujui changamoto za usafiri wa Dar ww hiyo huwezi epuka hata cku moja
Endelea kupanda yalikukuta ndio UTAKUJA kujua.

Unajua kutembea ni process nilikua nawa onea watu wivu nikiona wanatembea.

Muda kama huu nilikua najifunza kutembea kama mtoto anae jifunza kutembea..unapiga HATUA mbili tatu unashindwa..Kuna muda nikitembea kidogo natokwa na MACHOZI Ila NASEMA goshiii Mimi ni mwanaume najikaza.

NB. Mimi nilikua najionaga binadamu imara / suree hakuna binadamu special nimepanda BODA BODA kama miaka 10 highway 🛣️ dar es salaam Ila siku moja ikaniweka nyumbani / hospital mwaka MZIMA.
 
Apostle NINI KIMETOKEA 🥺

Mpaka Leo sipo sawa siku izii hata niwe na haraka vipii SIPANDI NG'OOO BODA BODA SIPANDI NG'OOO.

Hapa dar es salaam ni machinjioniii kwa BODA BODA na ingekua ndio kazi yangu ili Nile ntashindwa kwa kweriii maana tangu nipate ajari last year muda kama huu mwaka Jana nilikua siwezi kutembea kabisa 🥺🥺🥺

Asante sanaa Mungu nimeanza KUPONA KABISA muda huu japo siwezi kurudi kua kama zamani MIMI NINA TESTIMONY JUU YA HILI.
Nisawa nakusema sipendi tena baada yakuachwa😁😁
Lakini ndiovyo sivyo
 
Back
Top Bottom