Kama habari hii ya Acacia kukataa kutulipa hata hiyo dola milioni 300 ni ya kweli, sijui nini kitafuata

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,061
144,492


Kama hii habari ni ya kweli,basi kusema kitakachokubalika katika mazungumzo kati ya Barrick na serikali ni lazima kwanza Acacia wayaridhie ndio yakubalike,hakika huu ndio ulikuwa mtego na janja ya hawa wazungu.

Anyway,wacha tusubiri taarifa rasimi kujua ukweli ni upi.
 
Hapo akijaribu kuuza hiyo mitambo utashangaa tumeshitakiwa na tunadaiwa trillions kadhaa hawa jamaa wametutega uncle Magu akichanganya imekula kwake....

Yajayo yanafurahisha sana....
hapana mkuu kiukwel yajayo yanasikitisha" hata 1USD?!?
 
Back
Top Bottom