The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,426
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.