kama dar hailipi hamia mikoani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama dar hailipi hamia mikoani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, Jun 17, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  sielewi kwa nini watu wengi wanapenda kuishi dar,lakini kwa jinsi navyoona hiyo nchi hata mikoani unaweza kuishi maisha mazuri,
  nimeona pale tunduma vijana wadogo wana fedha nyingi sana
  nafikiri kama nafanikiwa kurudi tanzania siwezi kuishi dar
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Wewe endelea kuishi huko huko mzee,...bongo noooooooooooooma
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Piga box tu mkuuu huku jua kali saaaaaaaaaaaaaana baba
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Usirudi huku komaa hukohuko huku jua kali...
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mmmh!! Hamia mikoani??? Hivi Dar siyo mkoa eeeh??????? teh teh teh
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,673
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  afadhali,maana ata mie uwa sielewi hii lugha...
  karibuni uku ha ha ha na kweli tuna pesa za maana tu toka tuhame mkoa wa dar
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  sidhani mkuu,mbona wazungu wengi na wachina wanakimbilia bongo?
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu katavi nikilinganisha jinsi maisha yalivyo hapa bora huko bongo
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280

  bora hapo mkuu,nikishindwa nitaenda kwa mjomba
   
 10. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,040
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Inaweza kuwa rahisi kupata pesa huko lakini kubwa zaidi ni matumizi....Tunduma utatumia wapi? Acha kupotea njoo tupate raha mjini DSM
   
 11. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kote ni kuzuri, na kote ni kubaya, inategemea mtu umejipanga vipi.
   
 12. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  acha uongo mkuu, utaishi wapi? na kwanini uko ughaibuni
   
 13. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lolz! Labda ni nchi...huwa naiskia sana hii!
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  utatumia wapi nini?kununua kahaba au?
   
Loading...